Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe
Mdomo wake haujawahi kuwa na utulivu wala staha wala hekima wala umakini wala utaratibu.ukimwambia weka ushahidi anaanza kujiuma uma tu.ndio maana nimesema ya kuwa itakuwa ni Uwendawazimu na ukichaa kwa CHADEMA kumchagua Lissu kuwa mwenyekiti wake. Lissu hawezi kujiongoza hata yeye mwenyewe. Ndio maana anashindwa kuongoza hata kauli na Maneno yake.
Akaweke ushahidi wapi, kwa hili jeshi la polisi linalofanya utekaji na kubadili ukweli? Lisu amefanya vizuri sana kuwaambia ukweli wao, maana vyombo vya serekali ndio vinaendesha mauaji.
 
Mbowe huwa anasingiziwa mambo mengi sana!
Jamaa katulia kimyaaa!! Lissu anataka kukimbilia tena Ulaya nn 😂

Maana akitishiwa maisha tu huyooo Ulaya sijui wakimpa chama atamwachia nani apambane 😂
 
Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe.

Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo mlivyofanya miezi michache iliyopita mlipomteka nyara na kumuua Mzee Ali Mohamed Kibao.

Ndivyo mnavyofanya kila mnapoua watu wasio na hatia. Mnasingizia watu wengine ili nyie mnaohusika msiwajibike na udhalimu wenu.

Huyo mnayedhani mnamtumikia alitoa ahadi hadharani kuwa nitakuwa salama nikirudi nyumbani. Waziri wake Masauni alirudia ahadi hiyo bungeni.

Mkiniumiza kama mnavyopanga mjue lawama yote itaangukia kwa Samia Suluhu Hassan. Badala ya kumlinda mtamchafua zaidi. Na kama ilivyokuwa kwa Magufuli baada ya 7 Sept '17, ndivyo itakavyokuwa kwa Samia.View attachment 3178142
Mafwele kisha rudi kutoka India?
 
Samia kapewa maelekezo na waarabu ya kulinda ''uwekezaji'' wao. Wametoa fedha nyingi za kuhonga vyama vya upinzani ili visimpe upinzani na kuanika uovu wake na wakati wa uchaguzi visitoe upinzani kamili. Lissu pekee ndiye aliyekataa hii hongo ndiyo maana wanapanga njama za kumuumiza. Unakumbuka yule simba wa kwenye maonyesho ambaye Samia alisema ''hatulii kama Lissu'' hivyo aitwe Lissu? Alikuwa anamaanisha hatulii hata akipewa fedha!
 
Mdomo wake haujawahi kuwa na utulivu wala staha wala hekima wala umakini wala utaratibu.ukimwambia weka ushahidi anaanza kujiuma uma tu.ndio maana nimesema ya kuwa itakuwa ni Uwendawazimu na ukichaa kwa CHADEMA kumchagua Lissu kuwa mwenyekiti wake. Lissu hawezi kujiongoza hata yeye mwenyewe. Ndio maana anashindwa kuongoza hata kauli na Maneno yake.
Sasa wew kushindwa kwako kum control mke wako hadi mbowe akawa anaruka nae unadhani lisu ni poyoyo kama wewe
 
Back
Top Bottom