Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu mafundi kukata mauno zaidi ya wazee wetu wa Zamani?Eti watu wanasema kukata mibuno mibuno sijui ndo kosa, wakati hati nyimbo za asali za makabila mengi tanzania ni kukata mibuno mwanzo mwisho, hawa watu wakapimwe mkojo tu.
Kwa kweli viongozi wa Tanzani ni sufuri brain, hizo nyimbo zimezaga mitaani watoto wanazimba kila siku hajui maanake, kwahiyo wanalikuza ili wawafundishe maana yake?.......kua mualimu ni laana katika nchi hiHalafu kwenye kampeni za CCM ni nyimbo hizo hizo zitatumika kukusanya watu, yaani vitu vingine vinachekesha kweli walimu wanateseka sana nchi hii mara wachapwe, wakimbizwe kama watoto, wafanywe masanamu km hivi nao wameinama tu kama makondoo
Kwa Nini watolewe vyeo Sasa!?my local countryHawajafukwa Kazi Isipokuwa Walimu Wakuu Maagizo Toka Kwa Waziri Husika
Kasema Watolewe Vyeo Vya Ualimu Mkuu, Kwa Hilo Jambo
Duu mkuu naona wamekuvuruga, umepandwa na hasira kama umemwagiwa maji, maji ya betriiiKuna watu mafundi kukata mauno zaidi ya wazee wetu wa Zamani?
Katika nyimbo walizocheza disco za zamani,hakuna hata mmoja wa mapenzi uliopigwa?
Enzi za kina Juma Nature hakuna kulala
Sister kata kiuno,ilikuwa sawa?
Kwahiyo ngoma ya Zuchu tu ndio yenye matusi?
Ilitokea wakacheza nyingine za kina Mario,sijui lavalava ,akina Gigy..
Ikitokea zikapigwa ,
Wataanza kujadili pia nyimbo moja baada ya nyingine?
Walivyokuwa wanaruka na kubanjuka Geita na huyohuyo Zuchu,
Tena akiwa live jukwaani akikata mauno na kuwabinulia matako,
Ilikuwa sawa?
Ama kunya anyeKuku, Bata akinya ameharisha
Tena Huo Huo ndio watampigia mama akipanda stejiniHalafu kwenye kampeni za CCM ni nyimbo hizo hizo zitatumika kukusanya watu, yaani vitu vingine vinachekesha kweli walimu wanateseka sana nchi hii mara wachapwe, wakimbizwe kama watoto, wafanywe masanamu km hivi nao wameinama tu kama makondoo
Poor thinking capacity..!Acha kuhalalisha UTOPIA yako...
Nitajie kosa la hao walimu...
Walimu wamekosea hapa...sio nyimbo za watoto kujifunza hzo
Acha kumshambulia mwenzako. Hoja yake ina mantiki. Wimbo umejaa vionjo vya ngono fullstop. Unajitoa ufahamu tu basi.Yani kwa vile wewe umejaa na mawazo ya kingonongono..unafikiri kila mmoja anawaza ngono..!?
Makosa ya Basata siyo warrant ya kuimba upuuzi kweye public institution. Nyumbani ni wajibu wa wazazi, wakiona OK, basi waendeleeKwann waliuruhusu basata?, kwani mtaani hamna watoto?, watoto wapo shule tu?
Umenishawishi kudownload kwa hii comment yako,Hako kamoja lazima katakuja kuwa kabodigadi (bodyguard)
Maana dogo hachezi wa hacheki.
Kwa watu wahuni na waliopotoka kimaadili hakuna kosa hapo.Hakuna kosa hapo
two wrongs don't make a right..........sasa wameanza kutambua makosa yaoKuna nyimbo nyingi za hovyo hupigwa mashuleni,ukiachilia mbali huo wa Zuchu.
Yaani kama sikuelewi hivi. What exactly is your stand on the matter? Na je, kweli umesoma vizuri comment yangu?Yaani Serikali ikulindie maadili ya mtoto wako?
Hii dhana ya kila kitu Serikali serikali inatulemaza sana kwako wewe huo wimbo una maadili?? Maneno yake na vitendo vyake ni vya maadili?? Kama sio kwanini kabla ya serikal tungeanza sisi wazazi kuupinga huu wimbo?? Serikal kupitia waziri wake imeonyesha kuwa huu wimbo sio sisi hao haaaa! Serikal hapa imekurupuka, huko BASATA si wanalipia?
Kwa mawazo huo wimbo haukupaswa kupigwa shule hata kama watoto wanaujua kwasababu hawajajifunzia shule ni huko mtaani na tuseme ule ukweli wimbo hauna maadili hata ingekuwa wewe kwa mwanao usingekubali auimbe auige kwa sababu ya maneno yake
exactlyKwa watu wahuni na waliopotoka kimaadili hakuna kosa hapo.
Serikali iache unafki, BASATA acheni unafki, wazieri mwana FA acha unafki na Mungu anawaona.View attachment 2801642
Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo.
Amesema hayo nje ya Bunge jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu video hiyo ambapo pia amepiga marufuku wanafunzi kucheza nyimbo zisizo na maadili na kuwataka walimu kuwa wasimamizi wa maadili pindi wanafunzi wawapo shuleni.
“Tumeshatambua shule yenyewe iko Tunduma, kulikuwa na kikundi kimeenda kutoa msaada shuleni pale, baada ya kutoa msaada ule kikaweka na muziki halafu wanafunzi wakacheza, na maudhui ya muziki wenyewe kila mtu ameusikia sina haja ya kuurudia,” amesema Profesa Mkenda.
Ameongeza, “tumeongea na wadhibiti ubora wapeleke taarifa kule, mkurugenzi awaondoe walimu wakuu wa shule mbili; moja shule ya Tunduma na nyingine ambazo ni kama shule pacha, waondolewe madaraka ya ukuu wa shule watafutwe wakuu wengine wa shule. Tunafanya hivi ili kutuma ujumbe, walimu wakuu tusaidieni msiruhusu vitu kama hivi viingie mashuleni.”
Kwa upande wake Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amempongeza Profesa Mkenda kwa kukemea kitendo hicho na kutoa wito kwa watoa huduma wote na wanaohudumia watoto kusimamia malezi na makuzi ya watoto.
siku aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kangi lugola alipokata uno nazi mbele ya mh rais ndo niliwavulia kofia wazee wa zaman, maana lile uno hata nusu sifiki aiseeKuna watu mafundi kukata mauno zaidi ya wazee wetu wa Zamani?
Katika nyimbo walizocheza disco za zamani,hakuna hata mmoja wa mapenzi uliopigwa?
Enzi za kina Juma Nature hakuna kulala
Sister kata kiuno,ilikuwa sawa?
Kwahiyo ngoma ya Zuchu tu ndio yenye matusi?
Ilitokea wakacheza nyingine za kina Mario,sijui lavalava ,akina Gigy..
Ikitokea zikapigwa ,
Wataanza kujadili pia nyimbo moja baada ya nyingine?
Walivyokuwa wanaruka na kubanjuka Geita na huyohuyo Zuchu,
Tena akiwa live jukwaani akikata mauno na kuwabinulia matako,
Ilikuwa sawa?
Ama kunya anyeKuku, Bata akinya ameharisha