Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

Wangepewa onyo tu. Maana wimbo umechaguliwa na DJ na inaonekana ni public function.
 
Eti watu wanasema kukata mibuno mibuno sijui ndo kosa, wakati hati nyimbo za asali za makabila mengi tanzania ni kukata mibuno mwanzo mwisho, hawa watu wakapimwe mkojo tu.
Kuna watu mafundi kukata mauno zaidi ya wazee wetu wa Zamani?
Katika nyimbo walizocheza disco za zamani,hakuna hata mmoja wa mapenzi uliopigwa?

Enzi za kina Juma Nature hakuna kulala
Sister kata kiuno,ilikuwa sawa?


Kwahiyo ngoma ya Zuchu tu ndio yenye matusi?
Ilitokea wakacheza nyingine za kina Mario,sijui lavalava ,akina Gigy..
Ikitokea zikapigwa ,
Wataanza kujadili pia nyimbo moja baada ya nyingine?


Walivyokuwa wanaruka na kubanjuka Geita na huyohuyo Zuchu,
Tena akiwa live jukwaani akikata mauno na kuwabinulia matako,
Ilikuwa sawa?

Ama kunya anyeKuku, Bata akinya ameharisha
 
Halafu kwenye kampeni za CCM ni nyimbo hizo hizo zitatumika kukusanya watu, yaani vitu vingine vinachekesha kweli walimu wanateseka sana nchi hii mara wachapwe, wakimbizwe kama watoto, wafanywe masanamu km hivi nao wameinama tu kama makondoo
Kwa kweli viongozi wa Tanzani ni sufuri brain, hizo nyimbo zimezaga mitaani watoto wanazimba kila siku hajui maanake, kwahiyo wanalikuza ili wawafundishe maana yake?.......kua mualimu ni laana katika nchi hi

cc@Mpwayungu Village na kusapoti saana unamaono
 
Duu mkuu naona wamekuvuruga, umepandwa na hasira kama umemwagiwa maji, maji ya betriii
 
Pamoja na kwamba siungi mkono nyimbo hiyo, lakini kushushiwa vyeo ni kuonewa. Maana onyo lingetosha Tena la public.
 
Halafu kwenye kampeni za CCM ni nyimbo hizo hizo zitatumika kukusanya watu, yaani vitu vingine vinachekesha kweli walimu wanateseka sana nchi hii mara wachapwe, wakimbizwe kama watoto, wafanywe masanamu km hivi nao wameinama tu kama makondoo
Tena Huo Huo ndio watampigia mama akipanda stejini
 
Tz bhana mambo madogo kuw makubwa na makubw kuw madogo inawezekan.
 
Yani kwa vile wewe umejaa na mawazo ya kingonongono..unafikiri kila mmoja anawaza ngono..!?
Acha kumshambulia mwenzako. Hoja yake ina mantiki. Wimbo umejaa vionjo vya ngono fullstop. Unajitoa ufahamu tu basi.
 
Yaani kama sikuelewi hivi. What exactly is your stand on the matter? Na je, kweli umesoma vizuri comment yangu?
 
Serikali iache unafki, BASATA acheni unafki, wazieri mwana FA acha unafki na Mungu anawaona.
Nyimbo za Zuchu, diamond zina matusi tena ya kufanya mapenzi kabisa na namna ya kuisikilizia ikiingia, sijui chomoa, ipake mate hamzifungii wala hamkatazi kuchezwa kwenye graduu ila huu kwasababu umerushwa mtandaoni ndio mnaleta kisebengo?
cheni upuuzi, huu ni upuuzi mkubwa, yes wimbo ni mbaya si kwa watoto tu, bali kwa wote, sasa nyimbo zote za kijinga na za matusi ziondoeni na si kumwadhibu mwalkimu.
 
siku aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kangi lugola alipokata uno nazi mbele ya mh rais ndo niliwavulia kofia wazee wa zaman, maana lile uno hata nusu sifiki aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…