Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
ZUCHU mwenyewe GAMBA,
wametenda kosa, according to waziri (and me probably). WaadhibiweKuwatoa mbuzi wa kafara walimu kwa sababu ya wimbo wa Zuchu..huo ni wimbo mmoja tu !
ExactlyChadema walikuwepo Tunduma
Mbona kwenye mikutano ya CCM Zuchu anaimba Nyimbo hizo hizo na Wanafunzi wanacheza mbele ya Viongozi wa CCM na Serikali?
Msiwaonee Walimu wakuu
umeambiwa aina ya wimbo, utumie akili na weweMmh najaribu kutafakari na kuona kosa la walimu mpaka kuvuliwa nyadhifa zao sioni.
Tujiulize haya!
1.Je kosa ni kurekodiwa na kuwekwa katika social media au
2. Mziki kupigwa maeneo ya shule na watoto kucheza.
3. Je ingekuwa siku ya mahafali ya Darasa la saba na wimbo huo ukapigwa na wanafunzi wakaucheza je mwalimu angevuliwa nyadhifa yake?
Kiukweli tunakemea mmomonyoko wa maadili katika jamii yetu lakini mpaka wimbo umepita basata walichuja wapi na kuona utatumika kwaajili ya wakubwa tu na watoto hawata sikiza wimbo huo?
Watoto wanavyoimba inaonesha wanaujua wimbo tangu awali, this means kwamba kwa siku hiyo tu mwalimu mkuu hajasababisha mmomonyoko wa maadili kwa wanafunzi.
Kumvua cheo mwalimu mkuu ni Kuiambia BASATA kuwa walikosea kuruhusu wimbo huo.
Kwa maoni yangu mwalimu mkuu hana makosa ya kumvua cheo chake.
Yani Kiukweli mawaziri hukurupuka sana katika maamuzi, sijui ni poor kantiri ndo maana na mindset zetu zipo kama hali yetu ya uchumi.
Honeeey.
kushindwa kusimamia utovu wa maadili
Bro uko mkoa gani kwanza yaani unatuletea ushamba wa hali ya angalia nchi za wenzetu mifumo yao ya elimu time kubwa watoto wanacheza lkn wako very bright sasa na sisi tutumieni mifumo hiyo hiyo sio mikwaju tu kila wakati lazima serikali ibadilishe mifumo tuwalee watoto wetu kutokana na mazingara ya sasa .
asante sana for that observation. Malaya wanavamia jamiiTatizo la Malaya kuvamia muziki linaanza kuonekana. Hivi hakuna vya kuimba zaidi ya mitusi.
Huwezi kuepukaa, hata akikosa kwa Gari ya shule, je akiwa mtaan na watoto wenzie.?Tunadhibit
Mwanangu juzi ananiimbia hizo nyimbo,nikamwuliza umesikia wapi?manake nyumbani hazipigwi na Kuna channel tumeblock,akanambia anatupigiaga dreva tukienda shule[emoji1787]nikamwambia lol nitaongea na mwalimu,akanambia , hapana usimtaje[emoji1787][emoji23]akamwonea huruma kibarua chake mzee yule
Nikamwambia,ok usiwe unazisikiliza si nzuri,akajibu sawa mama,tukamaliza[emoji120]
Pia hao hao Walimu watatumika kuishindisha sisiemu[emoji1][emoji1]Halafu kwenye kampeni za CCM ni nyimbo hizo hizo zitatumika kukusanya watu, yaani vitu vingine vinachekesha kweli walimu wanateseka sana nchi hii mara wachapwe, wakimbizwe kama watoto, wafanywe masanamu km hivi nao wameinama tu kama makondoo
Visharobaro vyabaadae vinaburudika na vi pisi Kali vyao...[emoji23]
Maisha kama mahanjumati fulani hivi yana kabla ya kupikwa na baada ya kupikwa!
Mkuu ni Muziki siyo mzikiHapa nakataa nilichokiona ni burudani Tena wote walimu na wanafunzi wanainjoy mziki. Kwani kucheza mziki na kuburudika ni kosa!? Kama siyo mziki unafikri ni kipi kingewaburudisha hao wanafunzi kiasi hicho!?
Na kwani huo mziki una kitu Gani au maneno yapi ya kusema ya haribu watoto!? Kwangu ni "BIG NO" wameonewa walimu, nilitegemea wapongezwe kwa ubunifu wa kupiga mziki watoto wanapenda.
Walimu ndio ovaWawakatie viuno vizuri hao wapenzi wao siyo
Ova
Halafu mtu ana Dreams za kuwa Billionaire kwa hii kazi kweli? 😂
Sas watafanyajeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu kwenye kampeni za CCM ni nyimbo hizo hizo zitatumika kukusanya watu, yaani vitu vingine vinachekesha kweli walimu wanateseka sana nchi hii mara wachapwe, wakimbizwe kama watoto, wafanywe masanamu km hivi nao wameinama tu kama makondoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Visharobaro vyabaadae vinaburudika na vi pisi Kali vyao...[emoji23]
Maisha kama mahanjumati fulani hivi yana kabla ya kupikwa na baada ya kupikwa!
Kama kweli wamefanya huo ujinga,ni lazima wafukuzwe kazi hakuna jinsi!!!Wana kosa gani? Hivi unadhani mtumishi wa umma anafukuzwa kazi kama unavyomfukuza mbwa wako hapo nyumbani kwako?
Profesa Mkenda naye ni Kilaza tu. Sasa hao wanafunzi kucheza huo wimbo wa Zuchu - Honey wana kosa gani!!Hawajafukwa Kazi Isipokuwa Walimu Wakuu Maagizo Toka Kwa Waziri Husika
Kasema Watolewe Vyeo Vya Ualimu Mkuu, Kwa Hilo Jambo