ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Eti honey Leo sitoki nyumbani.. fyoko ...Leo nimeona video ya wimbo wa Whozu ft Billnass na Mbosso unaitwa Umeyatimba,
Kipande anachoimba Mbosso kuna sehemu anasema "Nyoooo na Nyokoooo", pia ile video inaonesha anambaka Mwanamke chumbani huku Wanaume wapo sitting room wanashangilia, anampaka hadi mafuta ya nazi....
Nimeshindwa kuelewa mamlaka husika hawajaona haya lakini na hawa wasanii kwanini wanafanya hivi, lengo lao hasa ni nini kutoa nyimbo za namna hii huku wakijua wahanga wakubwa ni watoto na vijana wadogo!??
Wangecheza Kioda kama 👇 wangepewa promoshen
By the way mwalimu sio DJWalimu wana kosa gani? Baada ya nyie(wizara husika),kuona wimbo huo,mlichukua maamuzi gani? Wanajifunzia huko shuleni au mtaani? Kwa nini wazazi wao wasiwe wa kwanza kuwajibishwa kabla ya walimu? Na kwa nini huo wimbo usifungiwe?
Watoto kuujua wimbo siyo kibali cha mwalimu kuunga mkono mambo ya hovyo! Walimu walitakiwa wawe mstari wa mbele kukemea hata kama watoto wanaujua! Mambo yanayofanyika majumbani hayana kibali kuingizwa mashuleni ndicho hicho waziri amekikataa! Unafikri shule zikiruhusu kila kinachofanywa mtaani kutakuwa na shule sasa?Hebu jiulize hao watoto wamejifunzia wapi huo wimbo na wanajua kucheza na kuimba. Watoto wengi wanaujua huo wimbo na wanaucheza.
Walimu naona mnakata mauno na wanafunziWALIMU TUMECHOKWA KUNYANYASWA...
TUMECHOKA FANYWA PUCH BAG NA WANASIASA..
TUMECHOKA TUMIWA...
ENOUGH...
Walikuwa wanacheza Singeli na Wanafunzi!Waziri husika huyo ni nani!?
Hao Walimu wamefanya kosa gani!??
Ahhh!!!
Mbona kwenye vipindi vya utamaduni tunashuhudia“Tumeshatambua shule yenyewe iko Tunduma, kulikuwa na kikundi kimeenda kutoa msaada shuleni pale, baada ya kutoa msaada ule kikaweka na muziki halafu wanafunzi wakacheza, na maudhui ya muziki wenyewe kila mtu ameusikia sina haja ya kuurudia,” amesema Profesa Mkenda.
Aise,Acha watoto waimbe tuHuyo waziri ni mpuuzi mshamba inawezekana amepata elimu ila hajaelimika bado
Hapo shuleni kulikuwa na tukio gani mpaka mziki kupigwa?
Ina maana yeye ana akili kuliko hao waalimu?
Huo wimbo ni halali au siyo halali
Je kuna muongozo wa nyimbo ambazo watu wanatakiwa kuzitumia kwenye matukio
Ikiwa tuna tukio tupige nyimbo gani na gani tusipige?
Ningekuwa mwalimu ningefungua kesi haraka sana
Alichofanya huyo waziri ni upuuzi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Umeandika ukweli wa dhahiri kabsa.Chadema walikuwepo Tunduma
Mbona kwenye mikutano ya CCM Zuchu anaimba Nyimbo hizo hizo na Wanafunzi wanacheza mbele ya Viongozi wa CCM na Serikali?
Msiwaonee Walimu wakuu
HII NI SEHEMU YA MASHAIRI YA HUO WIMBO, MWANAO AKIKUIMBIA UTAMUONA MWELEVU?Siongei mengi... Ni kweli!?? Wamefukuzwa kazi!?? Anyone...!!
Badala ya kufungia wimbo wanafukuza waalimu 🗑🚮
Mpaka kufika 2035 kizaz kitakuwa kimechakaaaHuwezi kuepukaa, hata akikosa kwa Gari ya shule, je akiwa mtaan na watoto wenzie.?
Kwanini mwalimu aliyecheza mara moja kwenye tukio moja amefanya kosa kubwa kuliko waziri wa sanaa aliyeruhusu upigwe miezi na miezi mpaka watoto wakaukariri?Watoto kuujua wimbo siyo kibali cha mwalimu kuunga mkono mambo ya hovyo! Walimu walitakiwa wawe mstari wa mbele kukemea hata kama watoto wanaujua! Mambo yanayofanyika majumbani hayana kibali kuingizwa mashuleni ndicho hicho waziri amekikataa!
Kwani lengo ni nn? Kwamba waziri aruhusu nyimbo, wazazi na walezi wafungulie redio na kuwafundisha watoto halafu mwalimu ahakikishe mtoto haiimbi akiwa shule ila akitoka mtaani ni sawa kuimba na kukata viuno. Hapa lengo linakuwa ni kumtengeneza mtoto wa aina gani?Unafikri shule zikiruhusu kila kinachofanywa mtaani kutakuwa na shule sasa?
Kabisa angewaacha,na lazima hapo kuna walimu walienda kubanduana na wanafunziSasa hapo kosa ni lipi??? Mbona watoto na walimu wanainjoi zao vizuri tu.....prof umechemka
Kizazi hiki ni cha kuachana nachoWamewaonea tu, tuwaache watoto wawe watoto, wauishi utoto wao...
e
Enzi nakua tumeimba sana nyimbo za mdundiko....huku utu uzimani ndo nimejua ujumbe.
Pia wakumbuke kwenye Sanaa kuna fani na maudhui, watoto ni waumini wa fani.....ukute hawaelewi chochote, wao wako na vibe tu.
Mitoto sahvi inajuwa sana mambo ya kubanduana na 0713Eti honey Leo sitoki nyumbani.. fyoko ...
mara honey leo nipo na mumy. nyoko... Parapara para papa [emoji23]