Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

Leo nimeona video ya wimbo wa Whozu ft Billnass na Mbosso unaitwa Umeyatimba,
Kipande anachoimba Mbosso kuna sehemu anasema "Nyoooo na Nyokoooo", pia ile video inaonesha anambaka Mwanamke chumbani huku Wanaume wapo sitting room wanashangilia, anampaka hadi mafuta ya nazi....

Nimeshindwa kuelewa mamlaka husika hawajaona haya lakini na hawa wasanii kwanini wanafanya hivi, lengo lao hasa ni nini kutoa nyimbo za namna hii huku wakijua wahanga wakubwa ni watoto na vijana wadogo!??
Eti honey Leo sitoki nyumbani.. fyoko ...

mara honey leo nipo na mumy. nyoko... Parapara para papa [emoji23]
 
Siongei mengi... Ni kweli!?? Wamefukuzwa kazi!?? Anyone...!!

View attachment 2801918
Wangecheza Kioda kama 👇 wangepewa promoshen



 
Walimu wana kosa gani? Baada ya nyie(wizara husika),kuona wimbo huo,mlichukua maamuzi gani? Wanajifunzia huko shuleni au mtaani? Kwa nini wazazi wao wasiwe wa kwanza kuwajibishwa kabla ya walimu? Na kwa nini huo wimbo usifungiwe?
By the way mwalimu sio DJ
 
Huyo waziri ni mpuuzi mshamba inawezekana amepata elimu ila hajaelimika bado
Hapo shuleni kulikuwa na tukio gani mpaka mziki kupigwa?
Ina maana yeye ana akili kuliko hao waalimu?
Huo wimbo ni halali au siyo halali
Je kuna muongozo wa nyimbo ambazo watu wanatakiwa kuzitumia kwenye matukio
Ikiwa tuna tukio tupige nyimbo gani na gani tusipige?
Ningekuwa mwalimu ningefungua kesi haraka sana
Alichofanya huyo waziri ni upuuzi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hebu jiulize hao watoto wamejifunzia wapi huo wimbo na wanajua kucheza na kuimba. Watoto wengi wanaujua huo wimbo na wanaucheza.
Watoto kuujua wimbo siyo kibali cha mwalimu kuunga mkono mambo ya hovyo! Walimu walitakiwa wawe mstari wa mbele kukemea hata kama watoto wanaujua! Mambo yanayofanyika majumbani hayana kibali kuingizwa mashuleni ndicho hicho waziri amekikataa! Unafikri shule zikiruhusu kila kinachofanywa mtaani kutakuwa na shule sasa?
 
“Tumeshatambua shule yenyewe iko Tunduma, kulikuwa na kikundi kimeenda kutoa msaada shuleni pale, baada ya kutoa msaada ule kikaweka na muziki halafu wanafunzi wakacheza, na maudhui ya muziki wenyewe kila mtu ameusikia sina haja ya kuurudia,” amesema Profesa Mkenda.
Mbona kwenye vipindi vya utamaduni tunashuhudia

wanafundishwa kukatika hivi tena hata kuwakatikia wageni wa kitaifa uwanja wa ndege je hilo analizungumziaje?
 
Huyo waziri ni mpuuzi mshamba inawezekana amepata elimu ila hajaelimika bado
Hapo shuleni kulikuwa na tukio gani mpaka mziki kupigwa?
Ina maana yeye ana akili kuliko hao waalimu?
Huo wimbo ni halali au siyo halali
Je kuna muongozo wa nyimbo ambazo watu wanatakiwa kuzitumia kwenye matukio
Ikiwa tuna tukio tupige nyimbo gani na gani tusipige?
Ningekuwa mwalimu ningefungua kesi haraka sana
Alichofanya huyo waziri ni upuuzi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Aise,Acha watoto waimbe tu
Tunajua kunyonya pipi ,inamaa nkuchomeke,nipake mafuta, bia tamu
Hao waliyowafungia wangeachana nao tu waache waendele kukatika mauno
Kizazi chenyewe kishapotea miaka 14 tu mtoto anajua kugegeduana na 713

Ova
 
Siongei mengi... Ni kweli!?? Wamefukuzwa kazi!?? Anyone...!!
HII NI SEHEMU YA MASHAIRI YA HUO WIMBO, MWANAO AKIKUIMBIA UTAMUONA MWELEVU?

Japokuwa namchuna

Kang’ang’ana humo humo

Honey wangu akinuna

Namkatia viuno



 
Watoto kuujua wimbo siyo kibali cha mwalimu kuunga mkono mambo ya hovyo! Walimu walitakiwa wawe mstari wa mbele kukemea hata kama watoto wanaujua! Mambo yanayofanyika majumbani hayana kibali kuingizwa mashuleni ndicho hicho waziri amekikataa!
Kwanini mwalimu aliyecheza mara moja kwenye tukio moja amefanya kosa kubwa kuliko waziri wa sanaa aliyeruhusu upigwe miezi na miezi mpaka watoto wakaukariri?
Kwanini mwalimu na siyo waziri wa sanaa? Kwanini mwalimu na siyo viongozi wa basata? Kwanini mwalimu na sio mwanasiasa anayeupiga kwenye kampeni?
Unafikri shule zikiruhusu kila kinachofanywa mtaani kutakuwa na shule sasa?
Kwani lengo ni nn? Kwamba waziri aruhusu nyimbo, wazazi na walezi wafungulie redio na kuwafundisha watoto halafu mwalimu ahakikishe mtoto haiimbi akiwa shule ila akitoka mtaani ni sawa kuimba na kukata viuno. Hapa lengo linakuwa ni kumtengeneza mtoto wa aina gani?

TUNA UNAFIKI WA KIBOYA SANA. HAHAHAHA
 
Hapo lazima kuna wengine wanawakatikia walimu mauno
Mwendo kukatikiana mauno tu
Na hapo lazima kuna wengine walienda kubanduana

Ova
 
Wamewaonea tu, tuwaache watoto wawe watoto, wauishi utoto wao...
e
Enzi nakua tumeimba sana nyimbo za mdundiko....huku utu uzimani ndo nimejua ujumbe.

Pia wakumbuke kwenye Sanaa kuna fani na maudhui, watoto ni waumini wa fani.....ukute hawaelewi chochote, wao wako na vibe tu.
Kizazi hiki ni cha kuachana nacho
Acha kifanye kinavyotaka
Acha mitoto iaribike tu kwanza mitoto yenyewe ishapotea,haisiki haimbaliki

Ova
 
Back
Top Bottom