Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

wimbo wa kukata viuno, siyo nzuri ni ku inculcate sense ya "ngono" kwa watoto
Hapa nakataa nilichokiona ni burudani Tena wote walimu na wanafunzi wanainjoy mziki. Kwani kucheza mziki na kuburudika ni kosa!? Kama siyo mziki unafikri ni kipi kingewaburudisha hao wanafunzi kiasi hicho!?

Na kwani huo mziki una kitu Gani au maneno yapi ya kusema ya haribu watoto!? Kwangu ni "BIG NO" wameonewa walimu, nilitegemea wapongezwe kwa ubunifu wa kupiga mziki watoto wanapenda.
 
Kwa Umri huo Hakuna sense hiyo

Tumesoma shule hizo hizo na tumeimba nyimbo hizohizo

Ni mawazo ngono yetu watu wazima ndiyo yanangonolize watoyo
Kukata viuno is associated with sex, ngono..... in African context , particularly Tanzania, unakataa nini?

National Erotica: The Politics of "Traditional" Dance in ...

by L Edmondson · 2001 · Cited by 42 — Muungano's version of the dance contest was enacted on the site of the eroticized female body-dancing, as usual, kukata kiuno.
 
Hapa nakataa nilichokiona ni burudani Tena wote walimu na wanafunzi wanainjoy mziki. Kwani kucheza mziki nakuburudika ni kosa!? Kama siyo mziki unafikri ni kipi kingewaburudisha hao wanafunzi kiasi hicho!? Na kwani huo mziki unakitu Gani au maneno yapi yakusema yaharibu watoto!? Kwangu ni "BIG NO" wameonewa walimu nilitegemea wapongezwe kwa ubunifu wakupiga mziki watoto wanapenda

National Erotica: The Politics of "Traditional" Dance in ...

Muungano's version of the dance contest was enacted on the site of the eroti- cized female body-dancing, as usual, kukata kiuno.
 
Siongei mengi... Ni kweli!?? Wamefukuzwa kazi!?? Anyone.,..! Wakiburudisha watoto mnawaadhibu!! Wakiiadhibu watoto mnawaadhibu mnataka wafanye nini!!? Kipi kibaya hapo chakusema umwadhibu mwalimu, kuburudika ni kosa kucheza na wanafunzi ni kosa!? Kupiga mziki watoto wanapenda ni kosa!? "UONEVU"
 
Hapa nakataa nilichokiona ni burudani Tena wote walimu na wanafunzi wanainjoy mziki. Kwani kucheza mziki nakuburudika ni kosa!? Kama siyo mziki unafikri ni kipi kingewaburudisha hao wanafunzi kiasi hicho!? Na kwani huo mziki unakitu Gani au maneno yapi yakusema yaharibu watoto!? Kwangu ni "BIG NO" wameonewa walimu nilitegemea wapongezwe kwa ubunifu wakupiga mziki watoto wanapenda

View: https://youtu.be/Yqb4SP8yAIw
 
Halafu kwenye kampeni za CCM ni nyimbo hizo hizo zitatumika kukusanya watu, yani vitu vingine vinachekesha kweli walimu wanateseka sana nchi hii mara wachapwe wakimbizwe km watoto wafanywe masanamu km hivi nao wameinama tu kama makondoo
Ila kweli mkuu hawako serious. Kama wanajua ubaya wake basi wapinge zisipigwe hata kwenye kampeni zao maana pia hizo kampeni watoto hukusanyika. Unakuta wanapga fine TV kuonyesha explicity songs za wasanii wa ndani ila za nje aah poa tu zigongwe kama kawa
 
Sio sawa wana familia angewapa onyo likiambatana na karipio kali
 
Ila kweli mkuu hawako serious. Kama wanajua unaya wake basi wapinge zisipigwe hata kwenye kampeni zao maana pia hizo kampeni watoto hukusanyika. Unakuta wanapga fine TV kuonyesha explicity soHuungs za wasanii wa ndani ila za nje aah poa tu zigongwe kama kawa
Wanasiasa ni watu wapumbavu sana, maamuzi ya kukurupuka kujipendekeza na uchawa tu vichwa vyao vinawaza kusifiwa na kujikomba komba kwa mamlaka hivyo anatafutwa mnyonge na mnyonge siku zote ni mwalimu,

Waanzie majumbani wawavue vyeo wazazi na walezi hizo nyimbo hazipigwi wala kusikilizwa shuleni ila wanafunzi wanazijua.
 
Niweke wazi tu bwana waziri kakurupuka kwa sababu hizo nyimbo almost watoto wote wa uswahilini wanaimba ubeti wa1Hadi wa Mwisho[emoji23] kumdemote mwalimu ni uonezi waziri ulitaka hapo waimbe tazama ramani?!!acha unafiki Mzee wangu na usitumie vibaya cheo chako haya maisha Yana kupanda na kushuka
 
Hapa nakataa nilichokiona ni burudani Tena wote walimu na wanafunzi wanainjoy mziki. Kwani kucheza mziki nakuburudika ni kosa!? Kama siyo mziki unafikri ni kipi kingewaburudisha hao wanafunzi kiasi hicho!? Na kwani huo mziki unakitu Gani au maneno yapi yakusema yaharibu watoto!? Kwangu ni "BIG NO" wameonewa walimu nilitegemea wapongezwe kwa ubunifu wakupiga mziki watoto wanapenda
sexual oriented gyrations haziruhusiwi mashuleni particularly for underage
Hizo takataka ndizo unalinganisha na burudani waliyocheza wanafunzi!?
msg sent to their mind unadhani ikoje? kwa underages.
Kukata viuno ni utamaduni wa pwani na ngoma hizo ni ngona za wakubwa na unahusishwa by 100% na ngono. Kwaheri!
 
Back
Top Bottom