makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Uwezo wa kufikiri na ubogo kuchakata maamuzi ni 0 kwa viongozi wetu.
Mwenyewe kasema kikundi kilienda kutoa msaada wakaweka muziki watu wamefurahia sasa kuna shida gani hapo..
Haikuwa sehemu ya somo.
Mwenyewe kasema kikundi kilienda kutoa msaada wakaweka muziki watu wamefurahia sasa kuna shida gani hapo..
Haikuwa sehemu ya somo.