makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kwa Umri huo Hakuna sense hiyowimbo wa kukata viuno, siyo nzuri ni ku inculcate sense ya "ngono" kwa watoto
Hapa nakataa nilichokiona ni burudani Tena wote walimu na wanafunzi wanainjoy mziki. Kwani kucheza mziki na kuburudika ni kosa!? Kama siyo mziki unafikri ni kipi kingewaburudisha hao wanafunzi kiasi hicho!?wimbo wa kukata viuno, siyo nzuri ni ku inculcate sense ya "ngono" kwa watoto
Kukata viuno is associated with sex, ngono..... in African context , particularly Tanzania, unakataa nini?Kwa Umri huo Hakuna sense hiyo
Tumesoma shule hizo hizo na tumeimba nyimbo hizohizo
Ni mawazo ngono yetu watu wazima ndiyo yanangonolize watoyo
Hapa nakataa nilichokiona ni burudani Tena wote walimu na wanafunzi wanainjoy mziki. Kwani kucheza mziki nakuburudika ni kosa!? Kama siyo mziki unafikri ni kipi kingewaburudisha hao wanafunzi kiasi hicho!? Na kwani huo mziki unakitu Gani au maneno yapi yakusema yaharibu watoto!? Kwangu ni "BIG NO" wameonewa walimu nilitegemea wapongezwe kwa ubunifu wakupiga mziki watoto wanapenda
Siongei mengi... Ni kweli!?? Wamefukuzwa kazi!?? Anyone.,..! Wakiburudisha watoto mnawaadhibu!! Wakiiadhibu watoto mnawaadhibu mnataka wafanye nini!!? Kipi kibaya hapo chakusema umwadhibu mwalimu, kuburudika ni kosa kucheza na wanafunzi ni kosa!? Kupiga mziki watoto wanapenda ni kosa!? "UONEVU"
Kwa kosa lipi!? Kuna kosa gani hapo LA kucheza mziki!!!Hawajafukwa Kazi Isipokuwa Walimu Wakuu Maagizo Toka Kwa Waziri Husika
Kasema Watolewe Vyeo Vya Ualimu Mkuu, Kwa Hilo Jambo
Hapa nakataa nilichokiona ni burudani Tena wote walimu na wanafunzi wanainjoy mziki. Kwani kucheza mziki nakuburudika ni kosa!? Kama siyo mziki unafikri ni kipi kingewaburudisha hao wanafunzi kiasi hicho!? Na kwani huo mziki unakitu Gani au maneno yapi yakusema yaharibu watoto!? Kwangu ni "BIG NO" wameonewa walimu nilitegemea wapongezwe kwa ubunifu wakupiga mziki watoto wanapenda
Muziki gani? wanaimba neno kukata kiuno ambayo katika african tradition ni mambo ya sex/vitandani, a sensible authprity atakataza kitu kama hiki kuimbwa shuleni kwa watoto wadogo.... see thisKwa kosa lipi!? Kuna kosa gan hapo LA kucheza mziki!!!
Ila kweli mkuu hawako serious. Kama wanajua ubaya wake basi wapinge zisipigwe hata kwenye kampeni zao maana pia hizo kampeni watoto hukusanyika. Unakuta wanapga fine TV kuonyesha explicity songs za wasanii wa ndani ila za nje aah poa tu zigongwe kama kawaHalafu kwenye kampeni za CCM ni nyimbo hizo hizo zitatumika kukusanya watu, yani vitu vingine vinachekesha kweli walimu wanateseka sana nchi hii mara wachapwe wakimbizwe km watoto wafanywe masanamu km hivi nao wameinama tu kama makondoo
Kwa kosa lipi!?Hapana hawajafukuzwa bali walimu wakuu wametolewa kwenye ukuu
Acha kuhalalisha UTOPIA yako...Muziki gani? wanaimba neno kukata kiuno ambayo katika african tradition ni mambo ya sex/vitandani, a sensible authprity atakataza kitu kama hiki kuimbwa shuleni kwa watoto wadogo.... see this
View: https://www.youtube.com/shorts/uHZ2Pv5FMxU?feature=share
View: https://youtu.be/Yqb4SP8yAIw
Wanasiasa ni watu wapumbavu sana, maamuzi ya kukurupuka kujipendekeza na uchawa tu vichwa vyao vinawaza kusifiwa na kujikomba komba kwa mamlaka hivyo anatafutwa mnyonge na mnyonge siku zote ni mwalimu,Ila kweli mkuu hawako serious. Kama wanajua unaya wake basi wapinge zisipigwe hata kwenye kampeni zao maana pia hizo kampeni watoto hukusanyika. Unakuta wanapga fine TV kuonyesha explicity soHuungs za wasanii wa ndani ila za nje aah poa tu zigongwe kama kawa
Hizo takataka ndizo unalinganisha na burudani waliyocheza wanafunzi!?Muziki gani? wanaimba neno kukata kiuno ambayo katika african tradition ni mambo ya sex/vitandani, a sensible authprity atakataza kitu kama hiki kuimbwa shuleni kwa watoto wadogo.... see this
View: https://www.youtube.com/shorts/uHZ2Pv5FMxU?feature=share
View: https://youtu.be/Yqb4SP8yAIw
sexual oriented gyrations haziruhusiwi mashuleni particularly for underageHapa nakataa nilichokiona ni burudani Tena wote walimu na wanafunzi wanainjoy mziki. Kwani kucheza mziki nakuburudika ni kosa!? Kama siyo mziki unafikri ni kipi kingewaburudisha hao wanafunzi kiasi hicho!? Na kwani huo mziki unakitu Gani au maneno yapi yakusema yaharibu watoto!? Kwangu ni "BIG NO" wameonewa walimu nilitegemea wapongezwe kwa ubunifu wakupiga mziki watoto wanapenda
msg sent to their mind unadhani ikoje? kwa underages.Hizo takataka ndizo unalinganisha na burudani waliyocheza wanafunzi!?
kwahiyo ushenzi huo uhalalishwe mashuleni? kwani USWAZI kuna maadili? ndiyo maana kukaitwa uswahili, uncivilized society.... ni derogatory term kwa watu wa huko USWAZI...almost watoto wote wa uswahilini w