Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

Halafu kwenye kampeni za CCM ni nyimbo hizo hizo zitatumika kukusanya watu, yani vitu vingine vinachekesha kweli walimu wanateseka sana nchi hii mara wachapwe wakimbizwe km watoto wafanywe masanamu km hivi nao wameinama tu kama makondoo
Na uchaguzi 2025..kuna maalimu mapumbavu yataomba kusimamia...

We need serious boycott... The emancipation of teacher's minds..
 
Mkuu kama una official statement ya demotion au video..
Naomba uiweke hapa..
 
A teacher as a musian, a teacher as a DJ a teacher as a judge!!? Hizi zote ni sifa za mwalimu bora
 
Kabisa mkuu. Ila walimu nchi ni punching bag ya kila mwanasiasa anayetaka umaarufu.
 
Yani ndo wanaowapa umaarufu na viburi vya kula kodi zetu halafu wanarudi kuwaadhibu wao wenyewe acha wakome
Sema kuna muda nawaelewa. Mfano mkurugenzi wa Iringa aliposema mwalimu atakayeunga mkono upinzani wakati ccm ndio inamlipa watampanhata kesi ubakaji akafungwe walimu si wanaogopa. Halafu mkuu walimu wana njaa na mtu akiwa na njaa rahisi kumcontrol.
 
Nimezungukwa na walimu nimelelewa na mwalimu nawapata vizuri sana vichwa vyao, kiufupi mwalimu ni mwanafunzi asiyevaa uniform
 
Halafu kwenye kampeni za CCM ni nyimbo hizo hizo zitatumika kukusanya watu, yani vitu vingine vinachekesha kweli walimu wanateseka sana nchi hii mara wachapwe wakimbizwe km watoto wafanywe masanamu km hivi nao wameinama tu kama makondoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hao hao CCM watayakata mauno jukwaani ili wapewe kura

2015 walicheza mapanga ya TMK .

Si ajabu mwaka 2025 wakaja na zuchu..na hata kwenye ziara zake wanaenda naye ,si ndio hizo hizo nyimbo anazoimba?
Ila hapo wanawaona walimu wakosaji.

Hiyo nyimbo watoto wengi wanapenda,na usipowawekea wanaidai.
Wawaache walimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…