Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Mkuu,Kwamba huo wimbo wamejifunzia hapo shuleni?Mbona tuna kazi nchi hiiwimbo wa kukata viuno, siyo nzuri ni ku inculcate sense ya "ngono" kwa watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,Kwamba huo wimbo wamejifunzia hapo shuleni?Mbona tuna kazi nchi hiiwimbo wa kukata viuno, siyo nzuri ni ku inculcate sense ya "ngono" kwa watoto
Na uchaguzi 2025..kuna maalimu mapumbavu yataomba kusimamia...Halafu kwenye kampeni za CCM ni nyimbo hizo hizo zitatumika kukusanya watu, yani vitu vingine vinachekesha kweli walimu wanateseka sana nchi hii mara wachapwe wakimbizwe km watoto wafanywe masanamu km hivi nao wameinama tu kama makondoo
Wewe jamaa hakika ni mpumbavu kabisa...kwahiyo ushenzi huo uhalalishwe mashuleni? kwani USWAZI kuna maadili? ndiyo maana kukaitwa uswahili, uncivilized society.... ni derogatory term kwa watu wa huko USWAZI...
Walimu hawajiamini kabisaNa uchaguzi 2025..kuna maalimu mapumbavu yataomba kusimamia...
We need serious boycott... The emancipation of teacher's minds..
Mkuu kama una official statement ya demotion au video..Niweke wazi tu bwana waziri kakurupuka kwa sababu hizo nyimbo almost watoto wote wa uswahilini wanaimba ubeti wa1Hadi wa Mwisho[emoji23] kumdemote mwalimu ni uonezi waziri ulitaka hapo waimbe tazama ramani?!!acha unafiki Mzee wangu na usitumie vibaya cheo chako haya maisha Yana kupanda na kushuka
Kiukweli Sina mkuu zaidi ya kusikia tu kwenye medias kama hiviMkuu kama una official statement ya demotion au video..
Naomba uiweke hapa..
A teacher as a musian, a teacher as a DJ a teacher as a judge!!? Hizi zote ni sifa za mwalimu boraKukata viuno is associated with sex, ngono..... in African context , particularly Tanzania, unakataa nini?
National Erotica: The Politics of "Traditional" Dance in ...
by L Edmondson · 2001 · Cited by 42 — Muungano's version of the dance contest was enacted on the site of the eroticized female body-dancing, as usual, kukata kiuno.
Kabisa mkuu. Ila walimu nchi ni punching bag ya kila mwanasiasa anayetaka umaarufu.Wanasiasa ni watu wapumbav sana maamuzi ya kukurupuka kujipendekeza na uchawa tu vichwa vyao vinawaza kusifiwa na kujikomba komba kwa mamlaka hivyo anatafutwa mnyonge na mnyonge siku zote ni mwalimu,
Waanzie majumbani wawavue vyeo wazazi na walezi hizo nyimbo hazipigwi wala kusikilizwa shuleni ila wanafunzi wanazijua
Yani ndo wanaowapa umaarufu na viburi vya kula kodi zetu halafu wanarudi kuwaadhibu wao wenyewe acha wakomeKabisa mkuu. Ila walimu nchi ni punching bag ya kila mwanasiasa anayetaka umaarufu.
Hilio nimeliona pia mkuu hakika hapo waliterezawimbo wa kukata viuno, siyo nzuri ni ku inculcate sense ya "ngono" kwa watoto
Sema kuna muda nawaelewa. Mfano mkurugenzi wa Iringa aliposema mwalimu atakayeunga mkono upinzani wakati ccm ndio inamlipa watampanhata kesi ubakaji akafungwe walimu si wanaogopa. Halafu mkuu walimu wana njaa na mtu akiwa na njaa rahisi kumcontrol.Yani ndo wanaowapa umaarufu na viburi vya kula kodi zetu halafu wanarudi kuwaadhibu wao wenyewe acha wakome
Waziri Wa Elimu, Sayansi Na Teknojia Anaitwa Professor Adolf MkendaWaziri husika huyo ni nani!?
Hao Walimu wamefanya kosa gani!??
Ahhh!!!
[emoji1787]Hako kamoja lazima katakuja kuwa kabodigadi (bodyguard)
Maana dogo hachezi wa hacheki.
Nimezungukwa na walimu nimelelewa na mwalimu nawapata vizuri sana vichwa vyao, kiufupi mwalimu ni mwanafunzi asiyevaa uniformSema kuna muda nawaelewa. Mfano mkurugenzi wa Iringa aliposema mwalimu atakayeunga mkono upinzani wakati ccm ndio inamlipa watampanhata kesi ubakaji akafungwe walimu si wanaogopa. Halafu mkuu walimu wana njaa na mtu akiwa na njaa rahisi kumcontrol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu kwenye kampeni za CCM ni nyimbo hizo hizo zitatumika kukusanya watu, yani vitu vingine vinachekesha kweli walimu wanateseka sana nchi hii mara wachapwe wakimbizwe km watoto wafanywe masanamu km hivi nao wameinama tu kama makondoo
Wee watu wakihemka tamko Moja haupoWana kosa gani? Hivi unadhani mtumishi wa umma anafukuzwa kazi kama unavyomfukuza mbwa wako hapo nyumbani kwako?
Muziki gani? wanaimba neno kukata kiuno ambayo katika african tradition ni mambo ya sex/vitandani, a sensible authprity atakataza kitu kama hiki kuimbwa shuleni kwa watoto wadogo.... see this
View: https://www.youtube.com/shorts/uHZ2Pv5FMxU?feature=share
View: https://youtu.be/Yqb4SP8yAIw