Nimeshindwa kuelewa mamlaka husika hawajaona haya lakini na hawa wasanii kwanini wanafanya hivi, lengo lao hasa ni nini kutoa nyimbo za namna hii huku wakijua wahanga wakubwa ni watoto na vijana wadogo!??
Wewe nawe ni baba? Yaani hapakuwa na mziki mwingine zaidi ya huo? Kucheza mziki ni sawa lakini wimbo gani? Una maudhui gani kwa hadhira? Yaani wewe maneno ya mpenzi wangu akina namkatika kiuno iko sawa hiyo? Utakuwa mbaba mwenye kasoro!Hapa nakataa nilichokiona ni burudani Tena wote walimu na wanafunzi wanainjoy mziki. Kwani kucheza mziki nakuburudika ni kosa!? Kama siyo mziki unafikri ni kipi kingewaburudisha hao wanafunzi kiasi hicho!? Na kwani huo mziki unakitu Gani au maneno yapi yakusema yaharibu watoto!? Kwangu ni "BIG NO" wameonewa walimu nilitegemea wapongezwe kwa ubunifu wakupiga mziki watoto wanapenda
Huyu Zuchu juzi kati amealikwa na CCM haohao akatumbuize Geita.Kabisa kwenye hili wameonewa kiukweli
Free walimu wakuuHawajawa demoted mkuu, waziri kasema wavulie tu vyeo vya ukuu wa shule.
mkuu acha makasiriko, acha watoto waenjoy kwa mudaWewe nawe ni baba? Yaani hapakuwa na mziki mwingine zaidi ya huo? Kucheza mziki ni sawa lakini wimbo gani? Una maudhui gani kwa hadhira? Yaani wewe maneno ya mpenzi wangu akina namkatika kiuno iko sawa hiyo? Utakuwa mbaba mwenye kasoro!
Well said. Ukitazama kwenye video yaani ni watoto wote wanaufahamu wimbo na wanauimba mwanzo mwisho. Kama ni kulinda maadili kwa hawa watoto basi serikali ingeanzia kwenye kuhakikisha kwamba nyimbo zisizo na maadili hazipenyi kwenye media na popote kwingine. Pia mtu au taasisi iliyokwenda kufanya jambo lake shuleni walipaswa kujua au kuambiwa na uongozi/mamlaka iliyowapa kibali cha kufanya shughuli yao hapo shuleni kwamba hawapaswi kupiga nyimbo yoyote isiyo na maadili mbele ya watoto. Na kwa mtazamo wangu hata hao walimu wakuu wanaotakiwa kuvuliwa vyeo vyao angalau basi wangepewa onyo tu na siyo kuwavua vyeo baada ya kuteleza kwenye tukio hilo. Ni mara ngapi hata hao mawaziri wameharibu mambo lakini hadi leo bado wapo ofisini?Niweke wazi tu bwana waziri kakurupuka kwa sababu hizo nyimbo almost watoto wote wa uswahilini wanaimba ubeti wa1Hadi wa Mwisho[emoji23] kumdemote mwalimu ni uonezi waziri ulitaka hapo waimbe tazama ramani?!!acha unafiki Mzee wangu na usitumie vibaya cheo chako haya maisha Yana kupanda na kushuka
Huyo waziri ni empty set, hao watoto wanauimba huo wimbo wamejifunzia mtaani walikotoka, sidhani kama hao walimu ndiyo wamewafundisha, kama hiyo nyimbo haina maadili basi waziri ashirikiane na mamlaka husika kupiga vita nyimbo zote zisizo na maadili kupigwa kwenye public, kwenye mabasi kama ilivyo kwa pombe kuuzwa bar vivyohivyo miziki ya hovyo ipigwe maeneo walipo watu wa hovyo tuWana kosa gani? Hivi unadhani mtumishi wa umma anafukuzwa kazi kama unavyomfukuza mbwa wako hapo nyumbani kwako?
Halafu wanaita press eti tushuhudie kuwavua walimu wakuu vyeo hii nchi tumerogwa walahiHuyu Zuchu juzi kati amealikwa na CCM haohao akatumbuize Geita.
Disco tena la wazi kwenye sherehe ni kawaida
Na huo wimbo upo kwenye peak,watoto wanacheza sana..nimekumbuka juzi hapa nyumbani palikuwa na birthday watoto wanacheza hatari..sembuse shule?
Huyo waziri Yeye alisoma Burundi?
Kama alisoma shule za mfagio na kidumu , hicho juu hapo ni kitu cha kawaida sana.
Nchi Ina mahitaji mengi,
Kero mashuleni ni nyingi,
Shule hazina walimu wa kutosha,miundombinu mibovu
Vitabu havitoshi
Matatizo ni mengi..wameacha kutafuta hayo,wamejitoa fahamu wanakwenda kuingilia furaha ya watoto na walimu.
Kama huoni kosa basi huna akiliMmh najaribu kutafakari na kuona kosa la walimu mpaka kuvuliwa nyadhifa zao sioni.
Tujiulize haya!
1.Je kosa ni kurekodiwa na kuwekwa katika social media au
2. Mziki kupigwa maeneo ya shule na watoto kucheza.
3. Je ingekuwa siku ya mahafali ya Darasa la saba na wimbo huo ukapigwa na wanafunzi wakaucheza je mwalimu angevuliwa nyadhifa yake?
Kiukweli tunakemea mmomonyoko wa maadili katika jamii yetu lakini mpaka wimbo umepita basata walichuja wapi na kuona utatumika kwaajili ya wakubwa tu na watoto hawata sikiza wimbo huo?
Watoto wanavyoimba inaonesha wanaujua wimbo tangu awali, this means kwamba kwa siku hiyo tu mwalimu mkuu hajasababisha mmomonyoko wa maadili kwa wanafunzi.
Kumvua cheo mwalimu mkuu ni Kuiambia BASATA kuwa walikosea kuruhusu wimbo huo.
Kwa maoni yangu mwalimu mkuu hana makosa ya kumvua cheo chake.
Yani Kiukweli mawaziri hukurupuka sana katika maamuzi, sijui ni poor kantiri ndo maana na mindset zetu zipo kama hali yetu ya uchumi.
Honeeey.
kabisa mkuu, sijui kwa nn anataka kuwanyima watoto haki yao ya msingi ya kucheza na kufurahi na walimu wao.Free walimu wakuu
Aisee
Akapambane Basata kufunga wimbo
Siyo kuwasumbua Walimu
Huyo mkenda yeye alisoma Primary Ulaya?
Kama amesoma Tz asijifyatue akili.
Hilo tukio ni kitu cha kawaida.
👍✔️Na kwa mtazamo wangu hata hao walimu wakuu wanaotakiwa kuvuliwa vyeo vyao angalau basi wangepewa onyo tu na siyo kuwavua vyeo baada ya kuteleza kwenye tukio hilo. Ni mara ngapi hata hao mawaziri wameharibu mambo lakini hadi leo bado wapo ofisini?
waulize wao watakupa jibu...may be uzembe and the like. Wimbo wenyewe katunga 'malaya" sijui naniKwanini BASATA hawakuufungia huo wimbo kama wanajua madhara yake na kwamba haufai?
akanyampasila, siyo akanyambasilakabisa mkuu, sijui kwa nn anataka kuwanyima watoto haki yao ya msingi ya kucheza na kufurahi na walimu wao.
Nina miaka mingi kwenye utumishi. Hakuna kitu kama hiko. Hizo ni blah blha na mnadanganywa na wanasiasa. Eti mtu anafukuzwa kazi jukwaani.Wee watu wakihemka tamko Moja haupo
Hivi ni nani huyo kaifanya hii furaha ya watoto kuwa tukio la kiharifu?Halafu wanaita press eti tushuhudie kuwavua walimu wakuu vyeo hii nchi tumerogwa walahi
Mavi kabisa haoo wao wanafanya makosa chungu nzima ,kazi kuonea vidagaa .Mavi kabisa huyo Waziri.Wanasiasa ni watu wapumbav sana maamuzi ya kukurupuka kujipendekeza na uchawa tu vichwa vyao vinawaza kusifiwa na kujikomba komba kwa mamlaka hivyo anatafutwa mnyonge na mnyonge siku zote ni mwalimu,
Waanzie majumbani wawavue vyeo wazazi na walezi hizo nyimbo hazipigwi wala kusikilizwa shuleni ila wanafunzi wanazijua