Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

Mshindi wa BSS anaonesha kwamba ule ushindi ulikua halali yake, anaimba vizurii "Hellooo......" nice kijana😘
 
Tuzo zimedoda sana.
Nilitarajia kuona jukwaa liko hot hot
 
Tanzania sometimes tunashindwa kuwa serious hata kwa vitu vidogo kama hivi.
Wazee wataongeza vijana kwenye kamati kwa event ijayo, sio mbaya sana lakini wamejitahidi
 
Toka lini ukapiga kelele mzee/mshua/dingi akiwa sebleni?

Ova[emoji41]
Aaah inategemea ni event gani kama ni sherehe kelele na vifijo vinapigwa kama kawa, afu unamaanisha huyo baba sebleni ni yupi?😂
 
Hapo kwenye high table kujaa wanasiasa, hiyo sio siku yao kabisa, ni siku ya wasanii, ni dunia yao.

Hata mbele tuzo za wasanii wanaotamba hapo mbele ni wasanii wenyewe.
 
Nadhani kwa speech zao za leo wanaweza kurekebisha japo Diamond nae itabidi apunguze matarajio
 
Nimeshangazwa pia ila nachokiona ni maandalizi hafifu, kwenye ulimwengu huu wa social media sio rahisi mtu kukosa picha
Hapa wamezingua sana, ila nimeona categories zingine wameweka means walikosa za hao.
 
Hapo kwenye high table kujaa wanasiasa, hiyo sio siku yao kabisa, ni siku ya wasanii, ni dunia yao.

Hata mbele tuzo za wasanii wanaotamba hapo mbele ni wasanii wenyewe.
Mkuu hujui kuna mkeka wa april unakuja ndo maana wanataka kuonekana kwenye kioo

Ova[emoji41]
 
Hivi inashindikana nini kwenye maandalizi wakaajili wawe wa aajili watu wawili watatu toka kwenye watu walio katika kamati za tuzo kubwa kama BET ama MTV waje washiriki katika kamati zao za maandalizi kupata uzoefu mpya
 
Hapo kwenye high table kujaa wanasiasa, hiyo sio siku yao kabisa, ni siku ya wasanii, ni dunia yao.

Hata mbele tuzo za wasanii wanaotamba hapo mbele ni wasanii wenyewe.

Wasanii wanaopokea tuzo, wengine wanatoka nyuma kabisaaa na sijui kama walifikiria list ya waalikwa na mpangilio wake

Waliokaa mbele kiukweli hawana influence sana kwa industry , wangewaachia Tu wasanii usiku wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…