financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Mshindi wa BSS anaonesha kwamba ule ushindi ulikua halali yake, anaimba vizurii "Hellooo......" nice kijanaš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani nashangaa,Tuzo zimekaa ki pepekale hatareeeSana hata sielewi kwanini vibe lipo chini hivi au ndiyo mambo ya kistaarabu hamna uswahili wa buza[emoji23][emoji23]
Toka lini ukapiga kelele mzee/mshua/dingi akiwa sebleni?Sana hata sielewi kwanini vibe lipo chini hivi au ndiyo mambo ya kistaarabu hamna uswahili wa buza[emoji23][emoji23]
Eti wanasubiri kugaiwa pepa la math[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mie mbavu zangu, khaaah nacheka km chizi hapa lol.
Kuna mdau kasema kumepoa kama kunagaiwa mtihani wa mathematics šš[emoji23][emoji23][emoji23]yaani nashangaa,Tuzo zimekaa ki pepekale hatareee
Aaah inategemea ni event gani kama ni sherehe kelele na vifijo vinapigwa kama kawa, afu unamaanisha huyo baba sebleni ni yupi?šToka lini ukapiga kelele mzee/mshua/dingi akiwa sebleni?
Ova[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee,,,,wanalazimishwa vibe,,eti wapige makofi[emoji23]Kuna mdau kasema kumepoa kama kunagaiwa mtihani wa mathematics [emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2] hatariEti tuzo ya heshima kwa kukuza mziki kapewa vincent mabeyo CDF haahaha
Baba sata [emoji28][emoji28]Aaah inategemea ni event gani kama ni sherehe kelele na vifijo vinapigwa kama kawa, afu unamaanisha huyo baba sebleni ni yupi?[emoji23]
Hapo kwenye high table kujaa wanasiasa, hiyo sio siku yao kabisa, ni siku ya wasanii, ni dunia yao.Kiukweli nilikuwa hata sijui kama ni leo ila
Katika pitapita za kubadilisha TV channels ndio nakutana nazo
Ukiachilia promo ambayo imeonekana kuwa na udhaifu, bado kuna mambo mengi ya kuboresha
1. Utoaji wa Tuzo
Nimeona kuna tuzo 3 za heshima ikiwemo ya Ruge Mutahaba na Diamond platnums bado na Mama Samia Suluhu. Si kama hawastahili ila sioni umuhimu wa watu watatu kugawana spotlight
2. Too much politics
Sijaelewa ni Mimi Tu au vipi, yaani Tuzo zimekuwa kama platform ya kupromote siasa kuliko muziki wenyewe, nimeona hadi mabango ya kudai haki na background sound za kusifu uongozi.. Sio mbaya lakini haikuwa necessary
3. Management
Hapa waandaaji waangalie hata kili music awards zilivyokuwa zinaendeshwa maana nimeshangaa watu almost wanne wamepewa Tuzo ila kuna watu wamekaa stejini muda wote kama wanakamati, sijui ni public figures ama ushers
3. TBC Coverage
Mixing ya picha na presentation kiasi haijanivutia, hopeful next time watafanya vizuri zaidi
Nimeangalia high table au sijui ni VIP kumejaa political figures, sio mbaya ila wangemix na musical figures maana ni usiku wao
Nimependa stage settings wamejitajidi lakini pia wasanii naona wamejitahidi
Japo ndio imeanza, ngoja niangalie itaendeleaje
Nadhani kwa speech zao za leo wanaweza kurekebisha japo Diamond nae itabidi apunguze matarajioKuingiza sio shida watafanyia kazi malalamiko yake kwanza Cha kwanza diamond alidai kutopewa mrabaha na akaongeza zaidi system nzima ya ukusanyanyi miraba ujakaa vizuri na alitajihidi kuulizia inakuaje hawakumpa majibu yakuridhisha
2. Jambo la pili alihoji utaratibu mzima wa kupata nominees alishangazwa na utaratibu wa msanii kuomba kwa barua kuingizwa kwenye categories anayotaka
Hapa wamezingua sana, ila nimeona categories zingine wameweka means walikosa za hao.Nimeshangazwa pia ila nachokiona ni maandalizi hafifu, kwenye ulimwengu huu wa social media sio rahisi mtu kukosa picha
Mkuu hujui kuna mkeka wa april unakuja ndo maana wanataka kuonekana kwenye kiooHapo kwenye high table kujaa wanasiasa, hiyo sio siku yao kabisa, ni siku ya wasanii, ni dunia yao.
Hata mbele tuzo za wasanii wanaotamba hapo mbele ni wasanii wenyewe.
Hapo kwenye high table kujaa wanasiasa, hiyo sio siku yao kabisa, ni siku ya wasanii, ni dunia yao.
Hata mbele tuzo za wasanii wanaotamba hapo mbele ni wasanii wenyewe.