Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Lissu anatumiwa tu.

Unakumbuka Kitila alivyotumiwa kibadilisha matokeo ya viti maalum ili watoto wa Ndesamburo na Mtei wapate Ubunge?

mtalialia sana , lakini cdm inasonga mbele , heshima anayopewa lissu hapa cdm hata jk hajawahi kuipata ccm ! Shame on you Zemarcopolo !
 
Hapa patamu.
 
Kweli chama hiki ni nuru ya wa Tanzania, haking'ati wala kupuliza kwenye maamuzi yake! Kinafaa sana kuongoza nchi hii, viongozi wababaishaji TUPA KULE.. Siyo mambo ya kubembelezana bembelezana!
 
Kwahiyo makao makuu bado kuna kirusi kimoja kiitwacho M2!!
 
Hahahahahah...Zitto ni jembe sana...anauzika popote...Karibu CCM zitto...karibu CCM ...Wewe utakuwa mgombea wetu wa Urais mwaka 2015...tunakupenda...tunakuamini Zitto........Zitto for CCM Presidency 2015

Wewe usipende kuwa mganga wa kienyeji.
 
Nilikuwa msomaji Tu tangu asubuhi,

LAKINI sina budi kusema kazi imetimia,

Jasho la watanzania haliwezi kuliwa na mjanja mmoja au wawili,

Ndoto ya UKOMBOZI haiwezi kuzimwa namamluki WA ccm,

Asante Jah kwa kipawa ulichonipa, asante Jah kwakujua hitaji la Watanzania milioni 45.5
 

Kijana mbona waweweseka?subiri umeambiwa waraka utasambazwa kwa wanachama wote wa chadema hivyo vuta subira kidogo
 

Huwezi kumuelewa na kamwe hutakaa umwelewe na bila shaka hata yeye mwenyewe hahitaji umuelwe kwakuwa ndiyo njia uliyoichagua ya kutoelewa.

Jambo la msingi wewe endelee kujikita huko kwenye chamamchako kipya cha mafisadi huenda wakakupatia ukuu wa wilaya hivi karibuni kuna nafasi kadhaa ziko wazi.

Sasa kadri unavyoongeza bidii ya kuweweseka na Chadema ndivyo mwenyekiti wako anakuona unafaa kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya.
 
mbona ccm ndio mnaoonyesha kuumizwa sana na habari hii? Mnasema zito na kitila ni majembe ya uhakika sasa kama chadema inashindwa kuwatumia si muwachukue kw a shangwe? Mnalialia nini sasa kama vile mumepoteza badala ya kushangilia.
Hiki ni kilio cha mchawi msibani. Aibu kwenu maana mlikuwa mnataka zito awe chadema kwa malengo yenu yaliyogunduliwa.
 

Akili yako hafikirii vizuri.
 
Hizi ni kauli za wapumbavu walioishiwa hoja. Unataka kusema hao kitila na zito ndiyo wasomi peke yao walioko CDM? Huna habari kwamba kuna maprof wengi tu? Acheni ujinga wa kuhusisha usaliti na elimu na ukabila.


Mwehu ni wewe

Unafahamu kilichomtokea Prof. Baregu. Chadema walimlazimisha ajitoe ktk tume ya katiba.

.
 
Hawezi kujenga nyumba yake halafu uje mjelajela na kumdhulumu simply ngoja apiganie haki yake na ikishindikana aende anakopendwa.

Mapovu hadi yawakauke msimu huu , cdm ni kaa la moto .
 
kamat kuu imeongelea sumu alyopewa zto ilitoka kwa nan? na ule waraka kamat kuu imechukua hatua gan dhid ya mbowe na slaa
 
Lissu anatumiwa tu.

Unakumbuka Kitila alivyotumiwa kibadilisha matokeo ya viti maalum ili watoto wa Ndesamburo na Mtei wapate Ubunge?

Mkuu ndo nikasema yule ni mwanasheria lakini leo anatumiwa na watu ambao hawakwenda shule!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…