Umeandika porojo tupu.
Hamas ni magaidi wanaua hovyo raia wa mataifa tofauti hata wasiohusika na vita yao na Israel, hapa hakuna mjadala unless uwe na akili mbovu kutambua Hamas ni kundi la machizi wenye silaha.
Kweli mkuu.
Huko Msumbiji wana kundi lao linaitwa
Ansar al-Sunna linaua kwa wingi wananchi wasio na hatia wa huko kikatili sana, halafu ajabu baadhi ya viongozi wa hilo kundi la wauaji ni Watanzania !!!
Serikali ya Msumbiji imesema viongozi wa kundi la kigaidi waliouawa nchini humo ni Watanzania - BBC News Swahili
Serikali ya Msumbiji imetangaza kuwa vikosi vya ulinzi nchini humo (FDS) vimedhibiti mji wa Macomia, katika jimbo la Cabo Delgado Kaskazini mwa Msumbiji na kuwaua viongozi wawili wa makundi ya kigaidi.www.bbc.com
Elimu elimu elimuUmeandika porojo tupu.
Hamas ni magaidi wanaua hovyo raia wa mataifa tofauti hata wasiohusika na vita yao na Israel, hapa hakuna mjadala unless uwe na akili mbovu kutambua Hamas ni kundi la machizi wenye silaha.
Mpalestina siyo ndg wa mwarabu, bali ni. Binadamu ambaye anatakiwa kuishi , waarabu wanajua hiloWaziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa.
Kauli hiyo ya Ujerumani inafuatiwa na uamuzi wa Marekani kupeleka meli na askari kuizunguka Israel ili kuipa ulinzi nchi hiyo ambayo kwa sasa imejiongezea maadui kufuatia vita vya miezi 10 na Hamas.
Hayo yakitokea wafalme wa nchi za mashariki ya kati walilala muda wote wa miezi 10 ya vita na bado wanaendelea kulala huku ndugu zao wa Palestina wakimalizwa kwa kuuliwa kwa njia ya silaha nzito na njaa.
Nimekuonesha ujinga wa ndugu zako katika imani wa Hamas umeshindwa kuujibu unahamia Israel, ajabu ndio unajiona msomi, labda msomi wa Quran!.Yaani wewe Myahudi wa Uwanja wa Fisi , mlokole masalia unaijuwa zaidi Israel kuliko wayahudi wenyewe ??
View: https://youtu.be/yISGty8aLRE
Vijana wa sasa hawana uzalendo kaka yaan kufa kizembe hawataki si utaona wataikimbia ile nchi wawaache wanawake na watoto🤣🤣Huku Israeli akitwanga makomboro bila huruma.Aisee kama hujui, wananchi wa iran wana umoja sana likija suala la vita
Hii ilikuwa zamani labda kwa sasa baada ya vurugu la uvaaji wa hijab na mauwaji la pili vijana wa sasa sio wale wa zamani tena maana u western umepenyezwa sana Iran
Sikatai kwenye vita kuna watu wanafaidika mfano wauza silaha hao wako tayari waone mnatoana roho miaka nenda rudi.Tatizo jingine Wa Israel ndo matajiri kwenye hizo nchi yaan ndo wanashikilia uchum sasa hiwezi kubali boss wako anatandikwa ww ukakaa pembeni au ukaleta usnich.Iran kayakanyaga tu inshot.Wewe kumbe huwaelewi wazungu , unaweza kukuta hao hao wamarekani kuna wanaomsaidia Iran kama alivyo mfaransa na miradi yake kule Iran pamoja na nchi kama Sweden na Ujeramani ambao wana makampuni yao kule.
Kule korea Kaskazini kuna makampuni ya west yanafanya kazi kwa siri na Wakorea . Ulimwengu huu ni unafiki tu.
Mrusi anaongoza kwa kununua uranium kwa wingi mwaka uliopita na huku anawaambia wengine wasinunuwe. nchi za West bado zinanunua mafua na gesi kutoka Urusi
Ni Unafiki kwenda mbele
Mimi nimekuonyesha ni nani terrorist kwa mujibu wa hao Wayahudi wenyewe , sasa kama unanishambulia mimi sijui kitu labda wewe ni myahudi zaidi ya hao wayahudi wenyeweNimekuonesha ujinga wa ndugu zako katika imani wa Hamas umeshindwa kuujibu unahamia Israel, ajabu ndio unajiona msomi, labda msomi wa Quran!.
Walishindwa sirya kubadilisha regime wataiweza irani?Germany, france, uk na marekani kwenye vita siku zote wana makubaliano ya kusimama pamoja kwahiyo hilo sio geni
Walishiriki kutunga uongo wakaisambaratisha iraq, libya etc nothing new iran akianzisha vita na israel wataungana kuondoa regime iliyopo ili waitawale iran kwa kuweka mtu wanayemtaka wao kwa maslahi yao, after that yale mafuta na resources zote ni za kwao dunia ndio ipo hivyo, ila kuna muumini wa nwamposa akishashiba kande anakwambia wanauliwa kwakuwa magaidi , watanzania tuna tatizo kubwa especially misingi yetu ya elimu ni poor ,ukifuatilia mijadala humu utaona wengi ni zero brain wanaongea ujinga ujinga tu they cant reason at all
Nakubaliana na wewe kabisa na wala halina ubishi hiloVijana wa sasa hawana uzalendo kaka yaan kufa kizembe hawataki si utaona wataikimbia ile nchi wawaache wanawake na watoto🤣🤣Huku Israeli akitwanga makomboro bila huruma.
Hao wayahudi ndio wa kwanza kukimbia , yaani mpaka mtoto wa nyetenyahu kakimbia yuko miami anakula bata wakati watoto wa wanyonge wanakunya kwenye pampers GazaNakubaliana na wewe kabisa na wala halina ubishi hilo
Vijana wote wanataka kuziacha nchi zao badala ya kuilinda
Kwenye hii Vita namfananisha Netanyahu na Hulagu the Mongol ilibidi Majeshi ya Waisilamu yaingie Mitini😆
View attachment 3061290
Hulagu,kipigo alichokitoa kwa Majeshi ya Kiislamu ya Iran na Iraq kilikuwa ni kizito sana mpaka leo huwa wanahadisiana.
Vita sio yelemama tena matajiri ndio waoga kufa wa kwanza wakidhani huko nako walikokimbilia wataishi mileleHao wayahudi ndio wa kwanza kukimbia , yaani mpaka mtoto wa nyetenyahu kakimbia yuko miami anakula bata wakati watoto wa wanyonge wanakunya kwenye pampers Gaza
Sikatai kwenye vita kuna watu wanafaidika mfano wauza silaha hao wako tayari waone mnatoana roho miaka nenda rudi.Tatizo jingine Wa Israel ndo matajiri kwenye hizo nchi yaan ndo wanashikilia uchum sasa hiwezi kubali boss wako anatandikwa ww ukakaa pembeni au ukaleta usnich.Iran kayakanyaga tu inshot.
Sasa ndio unauliza nini au ndio ka IQ ka kulia Pilau?Yuko anakunywa bia na Yesu ??
kwan sasa hv dunia ipoje ? chini ya Boko Haram , adf , Al shabab , al answar , janjaweed , seleka , Houth , hizbollah , alqaida , taliban , hamas etcujeruman aliukua na akili aliku hitller tu. maana asinge wapunguza hawa viumbe wayahudi kwa idadi ile saahizi kwenye dunia hii sijui ingekuwaje.
Acha kulazimisha undugu bro. Life ni survive of the fittest. Uko peke yako so kila mtu au taifa wanaangalia ninani wanaweza kushea nae life ili watimize ndogo zao. Hapo Sudan mbona hupasemei au Congo. Kwanini unalazimisha taifa kufikiri sawa sawa na wewe.Waziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa.
Kauli hiyo ya Ujerumani inafuatiwa na uamuzi wa Marekani kupeleka meli na askari kuizunguka Israel ili kuipa ulinzi nchi hiyo ambayo kwa sasa imejiongezea maadui kufuatia vita vya miezi 10 na Hamas.
Hayo yakitokea wafalme wa nchi za mashariki ya kati walilala muda wote wa miezi 10 ya vita na bado wanaendelea kulala huku ndugu zao wa Palestina wakimalizwa kwa kuuliwa kwa njia ya silaha nzito na njaa.
MAGAIDI WAJITAHIDI KUPATA ELIMU WASIACHE KIZAZI KAMA CHAO. HAO ALISEMA MH PUTIN NI KUWAWAISHA TU KUPATA HAO 72 VIRGINS. HAMNA NAMNAJitahidi uende shule usikubali ukaja ukaacha kizazi cha aina yako
Wapigania haki hawataisha siku zote wapalestina wataendelea kupigania ardhi yao milele, na wameelimika sana ndio maana wanatanbua haki zao siyo nyumbu kama wewe uliyodanganywa usipoipenda israel utalaaniwa , ni mjinga tu atakayekubali upuuzi kama huu na lazima atakuwa mtu mweusi kwa sababu hata hao wazungu hawaukubali ujinga huuMAGAIDI WAJITAHIDI KUPATA ELIMU WASIACHE KIZAZI KAMA CHAO. HAO ALISEMA MH PUTIN NI KUWAWAISHA TU KUPATA HAO 72 VIRGINS. HAMNA NAMNA