Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Umeandika porojo tupu.
Hamas ni magaidi wanaua hovyo raia wa mataifa tofauti hata wasiohusika na vita yao na Israel, hapa hakuna mjadala unless uwe na akili mbovu kutambua Hamas ni kundi la machizi wenye silaha.
Yaani wewe Myahudi wa Uwanja wa Fisi , mlokole masalia unaijuwa zaidi Israel kuliko wayahudi wenyewe ??
View: https://youtu.be/yISGty8aLRE