sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Mkuu acha kututisha, ssset yenu ilikuwa moja kwani! Mmepoteza mihela kibao!!@Mbowe asipoachiwa basi mjiandae majibu haya mawili ya mafungo yenu:
Moja, mvua haitanyesha kabisa na ukame mkubwa utaiandama nchi na wengi wataathirika sana
Pili, mvua zitanyesha kubwa sana hadi kuharibu mazao, mali na kuchukua hata uhai.
The choice is yours
Nakumbuka niliunga mkono kupanda miti lakini cha ajabu miti elfu 15 kutoka idara ya misitu iliangamia kwa kuweka miti kwenye ukame, yaani miti tulipanda kipindi cha kiangazi, imekauka yoteWalisema kila halmashauri ipande miti 1.5m. Hakuna aliyejali, hakuna mtu anawachukulia serious hawa jamaa. Wanajua wanaropoka bila kumaanisha.
Athari ni ndogo sana au haipo kwa issue hii inayoongelewa ya miti milioni mbili na Ukame huu wa mwezi mmoja na nusu.Kwahio unataka kusema hakuna athari zozote sio? Unafikiri kuja na maandiko marefu na terminology haibadilishi facts Chief
Kwahio unashauri tuendelee kukata sio?Athari ni ndogo sana au haipo kwa issue hii inayoongelewa ya miti milioni mbili na Ukame huu wa mwezi mmoja na nusu.
Hii ni sayansi ya hali ya hewa siyo maandiko marefu au siyo siasa na ushabiki wa vyama.
Kumbuka mwaka jana mvua zilikuwa nyingi sana kipindi kama hiki, na miti ilisha katwa.
Mbowe ana laana!?Laana ya Mbowe inawatafuna
DuhMbowe ana laana!?
Miti husaidia kulinda vyanzo vya maji hata kama haichangii sana kubadili ikologia ya dunia.Athari ni ndogo sana au haipo kwa issue hii inayoongelewa ya miti milioni mbili na Ukame huu wa mwezi mmoja na nusu.
Hii ni sayansi ya hali ya hewa siyo maandiko marefu au siyo siasa na ushabiki wa vyama.
Kumbuka mwaka jana mvua zilikuwa nyingi sana kipindi kama hiki, na miti ilisha katwa.
Wanapo sema amazon inafanya dunia ipumue madhara yanaweza yasitokee brazil moja kwa moja ila sisi yaka tupataAthari ni ndogo sana au haipo kwa issue hii inayoongelewa ya miti milioni mbili na Ukame huu wa mwezi mmoja na nusu.
Hii ni sayansi ya hali ya hewa siyo maandiko marefu au siyo siasa na ushabiki wa vyama.
Kumbuka mwaka jana mvua zilikuwa nyingi sana kipindi kama hiki, na miti ilisha katwa.
Si shauri hivyo ila nashauri, kwamba mambo nyeti tusiwe haraka kuyapa majibu ya rejareja. Kwa mfano: unakata miti leo, hivyo kuanzia kesho mvua hazita nyesha! Hivi unajua SAO HILL wanafeka miti mingi kwa wakati mmoja na kupanda - lakini mvua hazisimami kusubiri miti iliyopandwa upya ikue!Kwahio unashauri tuendelee kukata sio?
Irrelevant, wanakata kwa sehemu na Yale ni mashambaHivi unajua SAO HILL wanafeka miti mingi kwa wakati mmoja na kupanda - lakini mvua hazisimami kusubiri miti iliyopandwa upya ikue!
Aaa miti ni miti, iwe imepandwa Shambani au ya polini!Irrelevant, wanakata kwa sehemu na Yale ni mashamba
Ahaaa my point is, hawakati miti eneo lote at once! Nimefika kuleAaa miti ni miti, iwe imepandwa Shambani au ya polini!
Chumba cha Mtihani. Sisi tuneruhusiwa kuingia na Calculator na Smartphone kwaajili ya Ku Google lakini bado mtihani unatutoa jasho balaa.Tz siyo jangwa...ILA tuna shida ya maji. .MAAJABU HAYATAISHA
Poleni sana, mambo ya kutojali hayo.Nakumbuka niliunga mkono kupanda miti lakini cha ajabu miti elfu 15 kutoka idara ya misitu iliangamia kwa kuweka miti kwenye ukame, yaani miti tulipanda kipindi cha kiangazi, imekauka yote
Ndiyo, na selous ni Sq km. 45,000 wamekataa miti kwenye < 1%! (less than 1%)Ahaaa my point is, hawakati miti eneo lote at once! Nimefika kule
Mungu akubariki Mpwa, acha hizi mbuzi zinazotaka tubishane ujingaKuombea mvua badala ya kudhibiti shughuli haramu za kibinadamu zinazosababisha ukame ndiyo ujinga mkuu kuliko ujinga wowote ule ambao binadamu anaweza kuwa nao.
Mungu alishamaliza wajibu wake wa kuweka mazingira ya mvua kunyesha.Ni wajibu wetu sasa kutunza mazingira hayo.Hatutimizi wajibu huo.Mungu hawezi kuwa na muda na wajinga kama hawa,he is too busy with things that matter.
Kuna tofauti kubwa kati ya miti ya asili na hii ya kupanda, mti wa hasili una tumia hata miaka hamsini kukua, na ina tabia xa ziada na miti ya kwetu hi ya kawaidaNdiyo, na selous ni Sq km. 45,000 wamekataa miti kwenye < 1%! (less than 1%)
Kwa hiyo kukatwa kwa hii miti million mbili ndio kumesababisha ukame wa mwaka huu?Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?
Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko Sawa kweli?
Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe vile kisa mnajenga bwawa? Liko wapi? Mtalijaza mikojo Wallah.
Anyway, CCM hoyeeee, mitano tena