Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

Mbowe asipoachiwa basi mjiandae majibu haya mawili ya mafungo yenu:

Moja, mvua haitanyesha kabisa na ukame mkubwa utaiandama nchi na wengi wataathirika sana

Pili, mvua zitanyesha kubwa sana hadi kuharibu mazao, mali na kuchukua hata uhai.

The choice is yours
Mkuu acha kututisha, ssset yenu ilikuwa moja kwani! Mmepoteza mihela kibao!!@
 
Walisema kila halmashauri ipande miti 1.5m. Hakuna aliyejali, hakuna mtu anawachukulia serious hawa jamaa. Wanajua wanaropoka bila kumaanisha.
Nakumbuka niliunga mkono kupanda miti lakini cha ajabu miti elfu 15 kutoka idara ya misitu iliangamia kwa kuweka miti kwenye ukame, yaani miti tulipanda kipindi cha kiangazi, imekauka yote
 
Kwahio unataka kusema hakuna athari zozote sio? Unafikiri kuja na maandiko marefu na terminology haibadilishi facts Chief
Athari ni ndogo sana au haipo kwa issue hii inayoongelewa ya miti milioni mbili na Ukame huu wa mwezi mmoja na nusu.
Hii ni sayansi ya hali ya hewa siyo maandiko marefu au siyo siasa na ushabiki wa vyama.
Kumbuka mwaka jana mvua zilikuwa nyingi sana kipindi kama hiki, na miti ilisha katwa.
 
Kwahio unashauri tuendelee kukata sio?
 
Miti husaidia kulinda vyanzo vya maji hata kama haichangii sana kubadili ikologia ya dunia.
 
Athari ni ndogo sana au haipo kwa issue hii inayoongelewa ya miti milioni mbili na Ukame huu wa mwezi mmoja na nusu.
Hii ni sayansi ya hali ya hewa siyo maandiko marefu au siyo siasa na ushabiki wa vyama.
Kumbuka mwaka jana mvua zilikuwa nyingi sana kipindi kama hiki, na miti ilisha katwa.
Wanapo sema amazon inafanya dunia ipumue madhara yanaweza yasitokee brazil moja kwa moja ila sisi yaka tupata
 
Kwahio unashauri tuendelee kukata sio?
Si shauri hivyo ila nashauri, kwamba mambo nyeti tusiwe haraka kuyapa majibu ya rejareja. Kwa mfano: unakata miti leo, hivyo kuanzia kesho mvua hazita nyesha! Hivi unajua SAO HILL wanafeka miti mingi kwa wakati mmoja na kupanda - lakini mvua hazisimami kusubiri miti iliyopandwa upya ikue!
Pia, nilikuwa nataka kuwafahamisha kuwa kuna sababu nyingi zinazo leta Ukame.
Kwa mfano, mvua zetu za vuli, zina tabia ya kuwa nyingi au za kutosha mfurulizo kwa mda wa miaka fulani (ie 11, 22...) na hii hufuatiwa na miaka ya vuli - mvua pungufu kwa mfurulizo wa miaka kadhaa. Lakini, kwa binadamu wa kawaida ambaye hahusiki na utafiti wa hali ya hewa, kumbukumbu ya vipindi hivi haipo akili. Wanasahau haraka.
 
Kuombea mvua badala ya kudhibiti shughuli haramu za kibinadamu zinazosababisha ukame ndiyo ujinga mkuu kuliko ujinga wowote ule ambao binadamu anaweza kuwa nao.

Mungu alishamaliza wajibu wake wa kuweka mazingira ya mvua kunyesha.Ni wajibu wetu sasa kutunza mazingira hayo.Hatutimizi wajibu huo.Mungu hawezi kuwa na muda na wajinga kama hawa,he is too busy with things that matter.
 
Mungu akubariki Mpwa, acha hizi mbuzi zinazotaka tubishane ujinga
 
Ndiyo, na selous ni Sq km. 45,000 wamekataa miti kwenye < 1%! (less than 1%)
Kuna tofauti kubwa kati ya miti ya asili na hii ya kupanda, mti wa hasili una tumia hata miaka hamsini kukua, na ina tabia xa ziada na miti ya kwetu hi ya kawaida
 
Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?

Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko Sawa kweli?

Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe vile kisa mnajenga bwawa? Liko wapi? Mtalijaza mikojo Wallah.

Anyway, CCM hoyeeee, mitano tena

Kwa hiyo kukatwa kwa hii miti million mbili ndio kumesababisha ukame wa mwaka huu?
 
Back
Top Bottom