Ukiona mtu anashabikia sana Simba na Yanga kuwa naye makini, wengi hawana akili timamu

Ndio hivyo wabongo tulivyo,ni hulka ambayo ipo,sio kwenye mpira tu,hata upande wa siasa.
Watu wakikutana kazini asubuhi kifungua kinywa ni habari za siasa.
 
Na ni kwanini wenye viti wengi wa matawi na wafadhiri wa hizi timu wanakuaga waislamu kuna siri gani?..........
 
Someone to make suicide attempt due to club football results, it's crazy mind.

And others have their own depressions but uses football results as the reason to make suicide
 
Mbona kama unawasema kijanja Mwakalebela, Mudi na Haji...
 

You have a point here.

Mwanangu mmoja yeye ni story za pisi 24/7 365 mwanangu sana ila zinachosha sometimes.
 
Umewalenga mashabiki wa simba mkuu. Kweli hiyo timu ina wengi hamnazo. Sikutanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…