Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Aulizae sio mjinga! Hii nahau ina maana sana zamani nilikua kama wewe yaani nashangaa na kudharau ila jua tu....Hamna mtu mzima mjinga!Kuna matatizo mawili makubwa hapa!
1. Kufikisha miaka 40 bila kuoa (unless kulikuwa na kizuizi)
2. Kuuliza swali jepesi sana kama hili hapa jukwaani.
Kwamba mtiririko wa mfumo wa wetu wa elimu hufahamu? Non-sense!
Kazi kwake(Work to him)wewe unafikiri utakuwa na miaka mingapi,sababu hapo ulipo ni mzee huenda una miaka 45, ila kwamakadirio kama ni chuo kikuu utakuwa na miaka 65 hapo nimeongeza miaka 3 ya changamoto za kielimu na uzazi kazi kwako
KUNA MTU UNAMSEMA HAPA KISAIKOLOJIA HUTAKI AOE AU AZAE [emoji23]Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?
Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
Hii kitu naona kila dalili itanizeesha bila mbegu yangu.Kwa hyo kijana wangu ulipanga ukiwa financially stable ndo utazaa?
Kupanga ni kuchagua bossAchilia mbali wenye matatizo ya kiafya,
kwa ambao ni timamu wa kiafya bil kujali jinsia, nini hasa kinakufanya uwe na hofu ya kua na mtoto walau hata wabkuendeleza kizazi na uzao wako, hata sasa una umri wa miaka 40 au zaidi?
Kwa Neema na Baraka za Mungu hujachelewa, ila ni kwanini uko hivyo hata kufikia umri huo?π
Mungu Ibariki Tanzania
Tena binafsi nahisi kuna haja ya kuwa na policy ya birth control, naona kama rate ya kuzaliana iko juu sana.Mmh mbona birth rate ni kubwa sana hapa. Tanzania itakua wewe tu ndo hauna
Ana CCMπNi wewe tu ndio huna boss.
sureTena binafsi nahisi kuna haja ya kuwa na policy ya birth control, naona kama rate ya kuzaliana iko juu sana.
Unazaa na nani SS huyo mtt πAchilia mbali wenye matatizo ya kiafya,
kwa ambao ni timamu wa kiafya bil kujali jinsia, nini hasa kinakufanya uwe na hofu ya kua na mtoto walau hata wabkuendeleza kizazi na uzao wako, hata sasa una umri wa miaka 40 au zaidi?
Kwa Neema na Baraka za Mungu hujachelewa, ila ni kwanini uko hivyo hata kufikia umri huo?π
Mungu Ibariki Tanzania
Na wengi sana hatuna mkuuTena binafsi nahisi kuna haja ya kuwa na policy ya birth control, naona kama rate ya kuzaliana iko juu sana.
Hiyo haifanyi kuwa watu wote tuna watt mkuuMmh mbona birth rate ni kubwa sana hapa. Tanzania itakua wewe tu ndo hauna
USIOE sitarudia tena kukushauriWadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?
Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.