Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

Mpaka ufanye maamuzi ya kuoa 40+1
Mkaanza kutafuta mimba 41+1
Muda wa mimba 42+9moths
Mtoto kufikia kuanza la kwanza 43+6
Mtoto kumaliza elimu ya msingi 49+6
Mtoto kuanza na kumaliza sekondary 55+6
Likizo ya form 4 na form 6 61+1
Elimu ya chuo 62+3 au 62+4/5

Minimum ni miaka 65 maximum ni miaka 67.

Kazi kwako.
 
Kuna matatizo mawili makubwa hapa!
1. Kufikisha miaka 40 bila kuoa (unless kulikuwa na kizuizi)
2. Kuuliza swali jepesi sana kama hili hapa jukwaani.

Kwamba mtiririko wa mfumo wa wetu wa elimu hufahamu? Non-sense!
Aulizae sio mjinga! Hii nahau ina maana sana zamani nilikua kama wewe yaani nashangaa na kudharau ila jua tu....Hamna mtu mzima mjinga!
 
Raise wa zamani wa Africa kusini ana umri wa miaka 82 na ana watoto wenye miaka miwili sekbuse arobaini wewe back kijana sana
 
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?

Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
KUNA MTU UNAMSEMA HAPA KISAIKOLOJIA HUTAKI AOE AU AZAE [emoji23]
 
Achilia mbali wenye matatizo ya kiafya,

kwa ambao ni timamu wa kiafya bil kujali jinsia, nini hasa kinakufanya uwe na hofu ya kua na mtoto walau hata wabkuendeleza kizazi na uzao wako, hata sasa una umri wa miaka 40 au zaidi?

Kwa Neema na Baraka za Mungu hujachelewa, ila ni kwanini uko hivyo hata kufikia umri huo?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Hebu taja faida za pande zote kwanza ndio tujue ni vibaya au vizuri kumaliza maisha bila mtoto.

Taja faida za mtoto atakaezaliwa kwanza ndipo utaje zangu
 
Achilia mbali wenye matatizo ya kiafya,

kwa ambao ni timamu wa kiafya bil kujali jinsia, nini hasa kinakufanya uwe na hofu ya kua na mtoto walau hata wabkuendeleza kizazi na uzao wako, hata sasa una umri wa miaka 40 au zaidi?

Kwa Neema na Baraka za Mungu hujachelewa, ila ni kwanini uko hivyo hata kufikia umri huo?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kupanga ni kuchagua boss
 
Mmh mbona birth rate ni kubwa sana hapa. Tanzania itakua wewe tu ndo hauna
 
Achilia mbali wenye matatizo ya kiafya,

kwa ambao ni timamu wa kiafya bil kujali jinsia, nini hasa kinakufanya uwe na hofu ya kua na mtoto walau hata wabkuendeleza kizazi na uzao wako, hata sasa una umri wa miaka 40 au zaidi?

Kwa Neema na Baraka za Mungu hujachelewa, ila ni kwanini uko hivyo hata kufikia umri huo?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Unazaa na nani SS huyo mtt 😂
 
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?

Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri sahihi wa kuoa na kuwa na Familia.
USIOE sitarudia tena kukushauri
 
Back
Top Bottom