secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Sasa hiyo iko vyema maana haioneshi nani yuko chini nani yuko juu.Mie ukiniona niamkie cheichei aloo
Ukija zenji hata hujawahi kusoma kiarabu utajua tu Asalam Alaykm
Huku kumskia mkristo anasalimia Asalam alaykm, waalaykm Salaam ni kawaida tu
Au itaskia akiulizwa vipi hali yako anajibu Alhamdulillah, kusema Insha'Allah au MashaAllah kawaida tu halafu mara moja wana adopt
Ndio shida inaanzia hapo hapo halafu uwe nafasi utaambiwa una dharau wakubwa kisa kazi."Habari za asubuhi" , "Mmeamkaje" n.k ni salamu zenye maana sana na kumaanisha kuliko hizi za shikamoo... tatizo wabongo mtaani wajinga wajinga ukimuambia mtu mzima "Habari ya leo", anasema umemdharau...
79 si una miaka 45 tu? Mbona kama mvi zimekuja mapema sana?
Mimi principle yangu ninayotumia kama MTU huna uwezo was kunizaa, sikuamkii shikamoo, maana unaweza kuta watu umewazidi umri shikamaoo, (au wanafikiri umewazidi umri wakakushangaa)
Na wa 1980 awe na miaka mingapi!? Hesabu imekuwa ngumu kiasi hicho!?
Mzee kwani demu akikusaliamia shikamoo ndio huwezi kumtongoza? Mbona kigezo cha ajabu HK?Ni mtihani kweli, unaweza kumsalimia mtu habari za saa hizi akakushushua kwa kukuona hustahili kumuamkia hivyo anataka shikamoo. Kuna wengine nao wanakuamkia shikamoo huku unawaona hawastahili kukupa shikamoo, ni wakubwa. Ishu nyingine inakuja kwenye kutongoza, unataka kutongoza demu mara anakusalimia shikamoo wakati we ulitaka akusalimie mambo vipi? Confidence ya kutongoza inashuka kwa kuona huyo demu ni mdogo sana kwako
Nyongeza: Mwisho wa hii salamu ni umri gani?? Coz marehemu baba at 65s alikuwa anamuamkia baba mkubwa mwenye 70s.Hii salamu ya Shikamoo
Wenzio wanaitikiaga "Akhsante"Haaahaa 😆 ☺️ SHIKAMOO ya Binti naiitikia na mbususu / papuchi unaiomba vizuri TU.
Wanawake wa dasalama,pwani ,Tanga hawapendi uwasalimie SHIKAMOO wanaona kama unawazeeshaa 😁 😆 Hawa wasalimie salamaleko au habari ama mambo vipi..
Way back 2000 nilikuwa nasalimia Asalaam alaykum, vipi Khali??"Habari za asubuhi" , "Mmeamkaje" n.k ni salamu zenye maana sana na kumaanisha kuliko hizi za shikamoo... tatizo wabongo mtaani wajinga wajinga ukimuambia mtu mzima "Habari ya leo", anasema umemdharau...
Amekufa, labda kama unataka ulione kabuli lake.View attachment 3347358
Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo?
Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's akasema ukiwa na umri huu ni mtihani,unaweza usisalimie watu kwa kuwaona mnalingana au ukajikuta unawasalimia wadogo zako kwa umri
Aisee sasa namuelewa sana,kwanza namshukuru Allah nimejaaliwa mvi za kutosha tu,ishu ni kwamba huwa sometime nashindwa kuwaamkia watu nisio wajua kwakuwa naona kama nipo sawa nao tu,lakini sometime najishtukia naona kama nilipaswa kuwaamkia
Hii salamu ya Shikamoo sio poa kwasababu inamtaka mdogo amsalimie mkubwa,lau tungekuwa na salamu flani hivi ambayo haibagui mkubwa na mdogo ingekuwa poa sana, kwa mfano salamu ya "habari za asubuhi au mchana au jioni" haina mfumo wa mkubwa au mdogo
Najua watoto wa elfu mbili hamuelewi hili kama ambavyo nami sikumuelewa yule jamaa wa kule library kule Chuoni,sasa nimemuelewa,nanyi pia mtakuja kumuelewa Etugrul Bey siku moja when u turn 40's
Kama kuna mtu ambaye anamjua alieanzisha hii salamu aniambie,kwani namhitaji huyu mtu anipe maelezo ya kina ilikuwaje wameturithisha hii salamu.
Ni hayo tu!
Kumbe unamjua odilia 😂Kusikiliza zile sauti za kimahaba za Odilia😎.
Inakuwaje humjui kaka yako?Haaahaa 😆 ☺️ kuna siku Kuna ka brother kangu kana MWILI mdogo mdogo sikuwai kuonana nako tangia nikiwa mdogo.
Siku moja nikawa nimeenda kinyerezi nikamkuta kavaa jezi yake yupo na brother angu mmoja nikasalimia habari za leo kajamaa kakagoma kakasema nikape shikamoo tukalumbana nikakasalimia kwa shingo upande.
Baadae ndio brother mwingine AKAJA aka ni introduce kwake ni brother mkubwa na ana wadhifa kubwa tuu mpaka NIKAONA AIBU Ila Kuna watu Wana miili midogo midogo mpaka wanaweza kunyimwa kiti ugenini 🤓
Namjua vizuri sana.Kumbe unamjua odilia 😂
Hibi ana watoto wangapi saa hv?Namjua vizuri sana.
Mkuu mbona unajizonga, "Asalaamu Alaykum" haya ni maamkizi bora kabisa yasiyozingatia umri.Hii salamu ya Shikamoo sio poa kwasababu inamtaka mdogo amsalimie mkubwa,lau tungekuwa na salamu flani hivi ambayo haibagui mkubwa na mdogo ingekuwa poa sana, kwa mfano salamu ya "habari za asubuhi au mchana au jioni" haina mfumo wa mkubwa au mdogo
kuna wengine ukiwatokea wanakuambia mbona we ni sawa na baba yangu! Inabini uone noma kakukata stimuMzee kwani demu akikusaliamia shikamoo ndio huwezi kumtongoza? Mbona kigezo cha ajabu HK?