Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani...
Na Watanzania wengine walio wagonjwa watagharamiwa na nani?
Kwanza kwa agharamiwe na serikali? Ni mtumishi wa serikali kwani?
Hao makapuko ndo waliomkataa Lisu na sera yake ya bima ya afya kwa kila mtz 2020. Kupanga ni kuchaguaJambo jema sana, serikali iwaone na makapuku wengine wanaokufa kwa maumivu sana kwa kukosa support ya matibabu.
Inafanya kazi, Ila inategemea na aina ya bima uliyonayoBima haifanyi kazi kwenye magonjwa makubwa
Ova
Mkuu , ukiugua figo , bima haisaidiiSuala la bima kwa wananchi ni suala la msingi sana.
#MaendeleoHayanaChama
HuYu alikuwa Kiongozi na mwakilishi Rasmi wa Wananchi kwa miaka 5. Alifanya Mengi kwa maendeleo ya Wananchi wa Jimbo lake.(Mbunge).Na Watanzania wengine walio wagonjwa watagharamiwa na nani?
Kwanza kwa nini agharamiwe na serikali? Ni mtumishi wa serikali kwani?