Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipi jema hapa duniani!Ummy,
kwanza kabisa umefanya jambo la maana sana kughramikia matibau ya Prof lakini labda tu nikwambie umeyasema hayo ktk wakati usio sahihi hata kidogo.
Prof hana shida kiuchumi hivyo acheni kbisa kuingiza siasa ktk maswala ya msingi,kuna watu wengi hasa kule ikungilyankoma simiyu wanahitaji matibabu na hawana usaidizi eti leo mnakuja hapa kutumabia kwamba mmeona mghramikie kupunguza ugumu wa maisha kwa prof. narudia acheni kucheza na maish ya watanzania kisiasa.
kama kumsaidia ,anzeni kusaidia watu waio na uwezo na wana magonjwa makubwa makubwa hao watangazeni,ila hawa wenye uwezo na profle mkitaka kufanya fanyeni kimya kimya CCM mnakwama sana acheni siasa ktk masha ya watanzania.
nimemaliza,naamini ujumbe utaupata dk hii hii.
Tumia akili na wewe. Hata kama unajiweza kiasi gani but kutumia 4m kwa wiki hospitali sio kitu kidogo ndugu
Halafu familia haijaomba michango ila watu wa karibu ndo wamejisikia kuhamasisha kusaidia
Mkuu bima ni biashara kama biashara zingine , focus ipo kwenye faida tu.Na hapo ndipo shida ilipo kama nachangia Kila mwezi lakin nikipata ugonjwa mzito kama huu sisaidiwi hiyo bima ni ya nini?
Ya kutibu malaria? Nini tofauti Kati ya mtu mwenye bima na asiyenayo kama mambo yako hivi? Ni nini kinaangaliwa ili magonjwa mengine yaondolew kwenye bima? Nini mchango wa serikali kwenye kufanya huu mfuko ushindw kuhudumiwa wanachama?
Bila shaka wewe ndiye mjinga! Umeshasema huduma za serikali ni haki yetu sote lakini inatolewa kwa wachache waliobahatika, huoni hiyo ni bahati kwa sababu serikali ingeweza kupuuza kama inavyowapuuza wengi!Duuh watu munawaza kijinga Sana!
Yaani huduma za serikali ambazo ni haki yetu sote inatolewa kiupendeleo we unaita bahati
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mpumbavu na mjinga! Uliona wapi au nchi gani viongozi na wananchi wa kawaida wana privilege sawa?Wabunge,ma dc,ma rc, makamu wa rais, rais,majaji, hawachangiii NHIF.
Jamaa unaropoka tu kitu usichokifahamu
mpumbavu wewe usiejielewa, wa taarifa yao swala la bima ya afya kwa nchi nyingi zenye watu anaojitambua hazibagui raia wala viongoziWewe ni mpumbavu na mjinga! Uliona wapi au nchi gani viongozi na wananchi wa kawaida wana privilege sawa?
[emoji23][emoji23]Hao makapuko ndo waliomkataa Lisu na sera yake ya bima ya afya kwa kila mtz 2020. Kupanga ni kuchagua
Inashangaza sana kwamba kuna mamia ya wananchi wanashindwa kuchukua maiti za wapendwa wao kisa wanadaiwa gharama za matibabu. Kuna wengi ambao wanafariki kwa kukosa fedha ya kugharimia operesheni na tiba kwa ujumla. Upo sahihi mkuu. Serikali ilitakiwa kuchangia tu.Na Watanzania wengine walio wagonjwa watagharamiwa na nani?
Kwanza kwa nini agharamiwe na serikali? Ni mtumishi wa serikali kwani?
Ni bora tu wangeacha watu wamchangie na wao kama wanataka kumsaidia, basi wangechanga tu kama watu binafsi.
ni hivi kwanza hakuna cheo cha mbunge mstaafu.Hizi ni roho mbaya.
Wewe Unaona ni sawa Serikali kukaa kimya watu wanashika mabango kuchangishana ili Mbunge Mstaafu apate Matibabu?
Ni mara nyingi TU serikali imesaidia watu wanaojitokeza kuomba michango ya kusaidia wahitaji.
Tusikosoe kila kitu Kwa sababu TU ya roho Mbaya.
Mbona Kuna wapinzani walichangiwa ili walipe faini za mil 30 wakati walikua na uwezo wa kulipa wenyewe.?
Kwani wasingelipiwa wangekufa?
Suala la Matibabu ni suala la kisera sio jambo la kukurupuka na kuanza kulaumu Kwa sababu TU serikali imeona ijaribu kuokoa maisha ya Prof. Jay.
Matibabu Duniani kote ni ghali sana.
Serikali Kwa hili naipongeza. Kuna watu wanatumia matatizo ya watu kama mitaji bila huruma.
Serikali itagharamikia na ukurasa wa michango na vibango vya kuchangia imefungwa.
Anayetaka michango achange akawatibu wengine nao wanahitaji michango.
Kwa Nini hao wanaofanya makongamano ya michango wasifanye ili walipe Matibabu ya wahitaji wengine? Hili la Jay serikali imelibeba . Waendelee na michango ,mbona wapo wengi wanaohitaji tena wanachama wao?
Kubishana na taahira ni sawa na kumpigia gita mbuzi!mpumbavu wewe usiejielewa, wa taarifa yao swala la bima ya afya kwa nchi nyingi zenye watu anaojitambua hazibagui raia wala viongozi
viongozi wote wanalipa kodi sawa na watumishi na wananchi wengine na wote wanakuwa na kitu kinaitwa social protection sawa.
Sasa ii nchi kwa mijitu yenye akili kama wewe mnaona viongozi ni kama miungu watu kima wewe.
TWAWEZA waliongea kweli kabisa mijitu mingi inayoshabiia CCM haina akili kama wewe
wewe ndiyo mmoja wapo wa matahaira mliotajwa kwenye ripoti ya TWAWEZA kwenda zao tahaira mkubwa weweKubishana na taahira ni sawa na kumpigia gita mbuzi!
Mhh !!!!
Haya ni Majibu mepesi kwa Maswali Magumu..., Hakikisheni gharama za Matibabu ni rafiki kwa kila kiumbe na sio kutoa Charity everytime you see Fit..... (which most of the time you don't)
Hayupo pale kuchague nani alipe na nani asilipe bali kuhakikisha Healthcare is Reachable and Affordable for All....
Unaonyesha wazi utaahira ulionao ni wa kurithi vinginevyo ungepelekwa Mirembe kwa matibabu!wewe ndiyo mmoja wapo wa matahaira mliotajwa kwenye ripoti ya TWAWEZA kwenda zao tahaira mkubwa wewe
Wewe ndio matahahira mliotajwa kwenye ripoti ya twaweza so endelea na utahaira wakoUnaonyesha wazi utaahira ulionao ni wa kurithi vinginevyo ungepelekwa Mirembe kwa matibabu!
Wakati huo sabaya akiachiwa kwa msamaha pia[emoji1][emoji1]Tuna taka kumuona Mbowe akiwa huru keshooooooo