Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Matumizi ya pesa za Chadema zinakaguliwa na CAG, kama kuna sintofahamu anawataka watoe maelezo. Amezungumzia michango ya 400000 kwa kila mbunge kwa ajili ya familia ya Marehemu Mawazon ambazo anadai hazikufikishwa. Shida ni kuwa amechelewa mno kutoa tuhma hizi ( hata kwenye mahojiano kazipenyeza mwishoni).Amesema kuhusu pesa walizokuwa wanachangishwa wao kama wabunge, hawafahamu zimetumika kufanya Nini. Na ni kweli hizi pesa zimekuwa zikitolewa porojo. Huyu Upendo kwakuwa ana hasira ataongea mengi ya hasira, lakini humo ndani tutapata ukweli.
Amandla....