Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
-
- #81
Expert wangu, point hapa iko hivi,hatusemi tuwe warahisi kukata tamaa au kuacha kupambana,ila inafika kipindi unapanga lkn maisha au fate inakupangiaHili wazo linaweza kukuaminisha lipo sawa ila halipo sawa ni kwa mtazamo wangu lakini ni kasauti kwa kujitia moyo pale unapojiona upo out of race shetani anaitumia hii sana kwa watu wenye uwezo kipawa na nyota za kufika mbali so hiyo sauti unayoisikia ya kukupa moyo kuacha vitu viwe kama vilivyo ni anguko na mwisho wake sio mzuri
You guy's feel the Pressure?, me I feel like I just left the masseuse.Yeah ukishasema kupambana maana yake kuna adui , hivyo lazima kuna namna unaweza kupambana huku ukiwa na stress za adui yako kukushinda
Noma ๐๐๐๐๐๐๐Ulishawahi kukosa pesa hata sh 100 ya kula unaishi nyumba ya kupanga na mwisho wa mwezi tayari........
Aiseee ๐๐๐Hakika Ila keep showing up haipendezi at the age of 40 uwe Una rent one room na watoto you have to fight and be shameless
Hivi hujawahi kupata habar ya Raisi mmoja huko duniani hakuishi ikulu bali kwenye kajumba kadogo tuUlishawahi kujiuliza ni kwanini Kila kitu hata kiwe ni cha kawaida lazima kipatikane Kwa kukitafuta? Hakuna anayeridhika low level mkuu, pengine tu tukubaliane kudanganyana kama tulivyozoea.
Kmmk ๐๐Anamsifia jamaa,unaniliwaza hadi nimesahau kama nimefiwa!
๐๐๐๐๐๐ My ribsUkianza kuwaza kifo hakuna kitu chenye utafanya.
Pesa zipo tatizo polisi
Ndiyo nilichosema mkuu kuwa fate inapokupangia tayari umeshakua out of race na hapo mashetani yameshakalia hatima yako kukubali ni kukubali kuwa umekua defeat, hapana usiruhusu hiyo roho chafu ikatawala fikra zako kaa vizuri rudia nilishokiandika kitakuingia tu akiliExpert wangu, point hapa iko hivi,hatusemi tuwe warahisi kukata tamaa au kuacha kupambana,ila inafika kipindi unapanga lkn maisha au fate inakupangia
When it comes to that stage,option ni kukubali ukweli kwamba haya ndio maisha yangu
Ukiniambia kwamba tunapambana ila tunaishia level za kawaida hapo nitakuelewa, ila usiniambie huwa unalizika.Hivi hujawahi kupata habar ya Raisi mmoja huko duniani hakuishi ikulu bali kwenye kajumba kadogo tu
Alimiliki bito au mgongo wa chura
Hayo yalikuwa maisha yake
Natambua kila kitu kinapatikana kwa sababu,hakuna kitu kinachokuja tu kutoka hewani,lkn inafika kipindi unafanya kila kitu lkn ndio yanakuwa majaliwa yako
Mimi ni babako full stop. Kataa nikupe laanaMkuu mi siwezi kuwa na baba kama wewe..
Kwanza we jamaa nKutafuta sana tuzichape live live
Saa 24 nipo hewan๐คฃ๐คฃ๐คฃ huwa napenda sana huu msemo wako,upo hewani hapo nikurushie msimbazi๐๐
Yani bila polisi ningekuwa mbali sana๐คฃ๐๐๐๐๐๐ My ribs
Unaamini kwamba riziki inatoka kwa Mungu au ni kupambana kwako tu ndio mafanikio yakoNdiyo nilichosema mkuu kuwa fate inapokupangia tayari umeshakua out of race na hapo mashetani yameshakalia hatima yako kukubali ni kukubali kuwa umekua defeat, hapana usiruhusu hiyo roho chafu ikatawala fikra zako kaa vizuri rudia nilishokiandika kitakuingia tu akili
Hakuna cha watu wengi ni mimi na wewe..Atafutwe promoter mkuu nipo tayari. Ukumbi uwe Mwenge pale!
Sina baba kama wewe mimiMimi ni babako full stop. Kataa nikupe laana
Mwanangu nakupenda sanaSina baba kama wewe mimi
Riziki inatoka kwa Mungu mzee ila sasa je unaishi katika kanuni na misingi ya mwenyezi Mungu, Mungu mbariki na kumfungulia mtu riziki kama tu amekua akizifuata na kuzishika amri zake ukichanganya na jitihada zako lazima utoboe, vinginevyo ni manupulation tu shetani anaitumia, usiwe mgumu kusikia mawazo mapya ukapinga kila kitu kwa unachoamini weweUnaamini kwamba riziki inatoka kwa Mungu au ni kupambana kwako tu ndio mafanikio yako
Kama unaamini kwamba atoaye ridhiki ni Mungu basi tambua hayo ndio makadio yako
Kama huamini juu la hilo nitakuelewa pale uliposema shetani ndio kizingiti cha mafanikio,kwa maana huo ndio mtizamo wako na maono yako