Usijipe Stress Kwa Kukosa Jambo fulani Katika Maisha,Mwisho Wa Usiku Utakufa Tu

Unapasha kiporo kimtindo
 
Expert wangu una haki na kuamini unayoamini wala sina tatizo na hilo

Ila unakosea pale unaposema kwamba ninaakisi mawazo ya kukuta tamaa,hapana hakuna kukata tamaa kwenye maisha mpaka pumzi ya mwisho

Kuna msemo unasema hivi jitihada hazizidi kudra ya Mwenyezi Mungu kwa maana kupambana peke yake sio msingi wa mafanikio bali ni rehma ya Mungu

Tuendelee kuchukua sababu ya kupambana lakini mtoaji wa ridhiki ni Mwenyezi Mungu
 
kuvuta pumzi nayo raha sema haujui tu .....
Sio raha tu bali ni neema kubwa sana,ukitaka kujua thamani ya pumzi,tembea hospitalini uone wenzetu wanao tumia gas za kupumulia ndio tutajua neema ya pumzi
 
Hili nalo neno....! Turidhike tulipo ila tuongeze juhudiii na hakuna kukata tamaa
 
Maisha mazuri yanawezekana sana, wewe amua tu kuwa adui wa serikali, mbwa wa serikali au ukosane na Mungu mazima.

Hatima yako utajuana nayo mwenyewe mbele kwa mbele.
Expert wangu umesema kweli kabisa,hakika utajiri una siri kubwa sana,jana kwenye makazi ya kishua ni waarabu hao,kuna watoto wawili wa kike na kiume wenye umri nikikadiria kama 27 mpaka 30

Aisee wote wanabebwa kwenye wheel chair,ukiwaona ndani ya v8 wamekaa huwezi jua hali zao ,wenyeji wa hapo wanasema hayo mambo ya utajir,unatia watoto ukilema unakuwa na pesa mingi

Ndio maana imesemwa ni ngumu kwa tajir kuuona ufalme wa Mungu

Guys tutafute kipato halali ili tukikutana na God tuwe salama
 
Get rich... or die trying.

Mindset kama yako haitakiwi. Kwasababu tu kuna kifo haimaanishi usijaribu.

"If today were the last day of my life, would I want to do what I am about to do today?" -Steve Jobs
Sikumaanisha kwamba we should give up everything nah,ila baada ya hustle na mapambano makubwa na matokeo yakabakia vile vile basi kubali hatima yako na kuwa na amani coz maisha sio ya milele
 
Acha kujifariji boy, ifanye dunia kuwa pepo yako maana tukifa hatuna guarantee ya kwenda peponi.

Yan ukifa ukateseke motoni na duniani tena uteseke? Hell No boy
Kuteseka akhera tunataka wenyewe tu, ni kufuata mamrisho ya Mungu na kuacha makatazo yake basi,hatuhitaji mtaji kuyafanya haya

Lakini kupata maisha mazur duniani ni mapambano zaidi na mashaka mengi
 
💪💪
 
Hizi ni fikra potofu. Huyu ni motivational speaker. Umaskini unakera,unaboa na unanuka. Inuka pambana na ww upate gari kali hii kusema tutakufa ni maneno ya wakosaji
Tatizo watu mnaogopa kusikia kwamba mtakufa au sio

Huwa naona wengi mmenielewa vibaya,sijasema kwakuwa tutakufa basi tusipambane

Ila baada ya mapambano makubwa na meisho wa siku majaliwa yako yakabakia pale pale,basi chill na usije stress sana coz tutakufa na ndio mwisho wa kila kitu hata kwa hayo uliyoyakosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…