Shida ndo zimekufanya uwe serious hivo?
 
Kuna namna Makalla alijitahidi sana ila Kuna mahali alikuwa anapwaya....Dar Inahitaji Mkuu wa mkoa mwenye bidii sana mbwembwe mingi awe sharp na smart kichwani sisemi Makalla hakuwa na vyote ila Kuna namna Chumvi haikukolea kwenye Chakula......
 
Temna Makalla ni bahati yaje kuhamishwa tu, huu mgomo usingetokea angesikiliza mapema kero za wafanyabiashara. Alibweteka.

Kwa maoni yangu, hatakiwi awepo kabisa katika serikali inayojali shida za watu.
 
Mara paaap MAKONDA karudi DSM
Kwa msoto alopitia Kuna watu wataandika barua za kuacha kazi the moment anatangazwa maana atawatahiri Kwa moto wooote waliokaa kando kipindi yuko nje ya bahari waliompotezea[emoji16][emoji38][emoji16][emoji38][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]siyo tumesema tumewaza tu Kwa sauti...
 
Chalamila Dar??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huu ni uchonganishi wa kumuondoa kabisa. Dar inahitaji mtu aidha mkorofi kama Makonda au mwenye hekma kama Mecky Sadick
Inataka kiongozi mwenye mitetemo ya singeli singeli mwenye amsha amsha ndo inachangamka....Wapi Makonda[emoji3166][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa miaka ya hivi karibuni hao wababu wa miaka hiyo siwezi kuwakumbuka wote.
Kama humjui Kandoro basi wee mgeni nchi hii....mpaka maji yale ya viroba yanaitwa Kandoro....Jiji la mwisho kuongoza ni Mbeya, mbunge akiwa Sugu huyuhuyu wa Chadema na Rais akiwa JK chukua hiyo dogo.

Pengine hukuwepo mjini time hiyo na Chalamila alipewa Mbeya baada Magufuli kumuondoa Kandoro Mbeya....... Kandoro,alikuwa RC Arusha, Dar, Mwanza na Mbeya...upo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…