Kazi ipoo.

Sasa Chalamila amebakiza Arusha tu.

Mkuu wa mkoa wa njombe angekuja Dar hii mambo ya wafanya biashara yasingemsumbua waziri mkuu kupoteza mda wake.

Tatizo hii nchi ni kutaka wote walioko chini yako wafanye kazi chini ya kiwangi chako hata kama wewe unakiawango kidogo cha kufanya kazi.

Kataawahuni.
 
"....hawa jamaa ( Wasukuma) ni washamba sana na malimbukeni."

NB: Sasa itakuwaje?!
 
Makala wafanyabiashara wameenda nae huyu wa morogoro uratibu wake wa Mei mosi ulikuwa kiwango Cha chini mno
Hizi sub zimefanyika kwa lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…