UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar
Kazi ipoo.

Sasa Chalamila amebakiza Arusha tu.

Mkuu wa mkoa wa njombe angekuja Dar hii mambo ya wafanya biashara yasingemsumbua waziri mkuu kupoteza mda wake.

Tatizo hii nchi ni kutaka wote walioko chini yako wafanye kazi chini ya kiwangi chako hata kama wewe unakiawango kidogo cha kufanya kazi.

Kataawahuni.
 
"....hawa jamaa ( Wasukuma) ni washamba sana na malimbukeni."

NB: Sasa itakuwaje?!
 
Makala wafanyabiashara wameenda nae huyu wa morogoro uratibu wake wa Mei mosi ulikuwa kiwango Cha chini mno
Hizi sub zimefanyika kwa lazima
 
Tupate kuikumbuka hili tukio enzi hizo..

Sasa tujiulize ataifanyia mabaliko yapi hii DAR ES SALAAM HUYU RC
942A80A5-6453-45AE-8943-C82F9C54C90E.jpeg

 
Back
Top Bottom