Mmh! Hata kwenye gesi ya Mtwara tuliambiwa sasa Mtwara itakuwa kama NewYork na umeme utakuwa bure kama mwanga wa jua.

Wakati kiwanda cha Dangote kinajengwa, tuliambiwa bei ya sementi itapungua na kuwa sh elfu 5.

Lakini Sasa yako wapi??
Dangote alivyoanza oparesheni simenti alikua anauza elfu 7 kwa mfuko, hiyo ilikuwa ni Dar mwaka 2016, ila makampuni yaliyokuwepo tayari yakashinikiza kuwa bei ipande na kuwa elfu 11 kama wanavyouza wao, ikabidi Dangote afuate nyayo zao.
 
TEC mashavu yamewashuka kwakununa, nyuzo zao leo utafikiri soksi zilizojaa tope. Zimewashuka shuu.
Dada acha ujinga. Unafikiri wale Tec waliongea kwa ajili yao? Hujui kwamba hata watoto wa kuendeleza majina yao hawapo? Sio kwa vile either raisi ni di i yako ndo anawazia mema watu au kwa vile ni dini tofauti basi anatuwazia mabaya. Nilimpinga Magu kwa baadhi ya sera zake na si kwa sababu ni mkristo mwenzangu. Naona wewe umeweka dini mbele kama kibatari cha kumuunga mkono mtu.
 
Hi

Hivi huyu Mama bado anaendelea na upuuzi wake wa kuuza Bandari kwa DP World!

Mpuuzi ni wewe hapo ndugu mama mbona yuko fresh tu anafanya mambo ya maendeleo.
Hii kitu mtakuja kumshukuru sana mama, yani imechelewa.
 
Kea hiyo mkataba wa mwanzo ikisema miaka mia au milele!?.. mia na milele ni kitu kilekile!?
 


Maneno mengi haya vunji mfupa. Kama kweli wanayosema waweke mkataba hadharani na sio kuongea pekee.
 
Inamaana mambo za siku 45 zitaisha na kuwa siku almost 20 mizigo tutakuwa nayo dukani.

Tena izo siku 10 nikwa uchache ngoma hukaa wiki 2 hadi 3 bora tuone mwarabu huenda akatukomboa....yani ije Meli kama ndege mana huko Airport nako kwahovyo tu
 
Miaka 30 angalao afadhali, by that time CCM watakuwa wameshafungasha virago.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…