Wasi wasi wako Tu, watz tuna Imani na serikali ya dk Samia.orojo za nini ivi unaijua serikal au unaichukulia ppoa unajua ni familia yako imekaa pale sio wapigaji wamekaa macho masaa24 wanatafuta namna ya kuweka mrija
tuwape muda, djibut walienda pia ila waliishia kushitakiana, tuwape muda, kama watatufaa safi ila tusiwape sifa mapema hivi.Mungu ibariki Tanzania, huu ni uwekezaji mzuri sana.
Fikiria kuondoa ule ufisadi wa pale, ukwepaji kodi, mizigo kukaa mda mrefu, ushindani duni wa huduma na kwa ujumla kupelekea bidhaa kuwa na garama kubwa kwa mnunuaji wa mwisho.
Hongera Tanzania, hongera serikali ya awamu ya sita, hapa tunaenda kupata mapato makubwa takribani mara 5 ya enzi za wapigaji.
Ilishatafunwahiyo ni hela ndogo sana. kwasababu tulishakopa pesa mara nne zaidi ya hiyo toka world bank, na hatujuiipo wpai na ilikuja kwa ajili ya bandari hiyohiyo.
22 October 2023
Dodoma, Tanzania
Sultan Ahmed bin Sulayem - DP World to inject over US$ 250 million following the successful singing of Concessions to run upgrade the Dar es Salaam port.
View: https://m.youtube.com/watch?v=g2LU6TtSTosToday marks a special day between Tanzania and DP World. It is a milestone and a significant step working together to upgrade the port of Dar es Salaam to eliminate the delays and make the port of Dar es Salaam a major hub to serve the region for example the copperbelt region in the southern region of this part of Africa.
After a long talks, the government of Tanzania and world giant harbour operator based in Dubai, DP World managed to iron out legal and political issues that were threatening to delay the project.
Tutaona tofauti ya mtakanganyika na mzanzibari ...afe kipa . afe beki.22 October 2023
Dodoma, Tanzania
Sultan Ahmed bin Sulayem - DP World to inject over US$ 250 million following the successful singing of Concessions to run upgrade the Dar es Salaam port.
View: https://m.youtube.com/watch?v=g2LU6TtSTosToday marks a special day between Tanzania and DP World. It is a milestone and a significant step working together to upgrade the port of Dar es Salaam to eliminate the delays and make the port of Dar es Salaam a major hub to serve the region for example the copperbelt region in the southern region of this part of Africa.
After a long talks, the government of Tanzania and world giant harbour operator based in Dubai, DP World managed to iron out legal and political issues that were threatening to delay the project.
How?The deal is over no cry tz we are sold for good
Comment no 7 imejibu swali lakokwann hizo pesa wasitugawie kila mtu milion 1 aisee
Ulikuwa Wapi Muda Ambao Ilikuwa Live
Kuna vitu vingi vya kujiuliza nchi inapata kodi kiasi gani na nimeona no kodi tu kiasi hawajasemaHow?
Kwenye mikataba hyo ni kawaida. Lakini pia wana hiyo record kwenye nchi moja tu miongoni mwa nchi nyingi walizowekeza.tuwape muda, djibut walienda pia ila waliishia kushitakiana, tuwape muda, kama watatufaa safi ila tusiwape sifa mapema hivi.
Comment no 7 imejibu swali lako
😆😆🤣Kwisha habari yetu
Hizo ni hearsays leta ushahidi wowote mkuu.Kuna vitu vingi vya kujiuliza nchi inapata kodi kiasi gani na nimeona no kodi tu kiasi hawajasema
Uzoefu unaonyesha Hawa ni wakwepaji na ni wazeee wa rushwa je una hakika gani kweli tunapata faida?
Ahaaaaa SawaWagogo wako loyal sana na CCM