inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Unapenda 'kujibiwa'!?Hauna akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda 'kujibiwa'!?Hauna akili
Hahahaaa,misikiti itaota mingi sanaKuna watu wanafoka, povu linawatoka mpaka wanaanza kututukania Uislam wetu.
MoU haijawahi kujadiliwa kabisa, huelewi unachokiandika.Nakubaliana na raisi SSH kuwa wananchi wamekuwa na mchango mkubwa kwa kufikia makubaliano. Isingekuwa hivyo, tusingepata mkataba huo. Kwa hiyo washukuriwe wote walioshiriki kukosoa MOU ambayo iliandikwa na kutiwa sahihi kiovyo kabisa!
Ukimkuta mtu anajadili Memorandum of Understanding (MoU) tatizo lake kwenye medula siyo dogo.MoU haijawahi kujadiliwa kabisa, huelewi unachokiandika.
wanawatukania uislam wenu kwasababu ninyi mlikuja kwa mgongo wa uislam kutetea waarabu, Rais Samia kawaumbua. sasa inaruhusiwa wawekezaji wengine kujenga bandari zingine bila ridhaa ya waarabu, na mwarabu kapewa kaeneo ka pale DSM port tu, sehemu zingine za bahari na maziwa hana mamlaka nazo, na ni miaka 30 na kila baada ya miaka 5 tutakuwa tunamtathimini. huoni mchango wa kina mwabukusi hapo? dini mmeileta wenyewe kwenye mjadala, na mnalalamika wenyewe tena.Kuna watu wanafoka, povu linawatoka mpaka wanaanza kututukania Uislam wetu.
Unafurahi mvaa kilemba mwenzako kuuza bandazi zetu au sio? Kwani hujui mikababa mingine ya kihuni ulaji tu kama iptl, richmond ilivyotuletea hasara? Hata huu utasababisha wizi tu ila tutakapousimamisha hatutawaacha waliyohusika salama. Watawajibishwa.kelele zenu zimezuwia nini?
Tatizo siyo maneno mazuri ila maandishi mazuri ya hayo manenowanawatukania uislam wenu kwasababu ninyi mlikuja kwa mgongo wa uislam kutetea waarabu, Rais Samia kawaumbua. sasa inaruhusiwa wawekezaji wengine kujenga bandari zingine bila ridhaa ya waarabu, na mwarabu kapewa kaeneo ka pale DSM port tu, sehemu zingine za bahari na maziwa hana mamlaka nazo, na ni miaka 30 na kila baada ya miaka 5 tutakuwa tunamtathimini. huoni mchango wa kina mwabukusi hapo? dini mmeileta wenyewe kwenye mjadala, na mnalalamika wenyewe tena.
Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023.
View: https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD
MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA
Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA utaongeza ufanisi kwa huduma za meli na shehena, kupunguza muda kwa bandari katika kuchakata nyaraka, kuongezeka kwa mapato ya serikali, kupungua kwa udanganyifu, kuimarisha nafasi ya ushindani kwa bandari, kuongeza ajira na kupunguza gharama za usafirishaji wa mizigo kuja bandari ya Dar es salaam.
Aidha, muda wa usafirishaji wa mizigo kutoka mashariki ya mbali utapungua kutoka siku 30 hadi 15.
Haitegemewi kufungwa kwa biashara zozote za wazawa zinazofanyika bandarini.
Aidha, Mkeli Mbossa amefafanua kuwa wastani wa meli kukaa nangani ikisubiri huduma ni siku 5 hadi 10 huku bandari ya Mombasa ni siku 1.25 na Bandari ya Durban ikiwa ni wastani wa siku 1.6. Hii inatokana na kukosekana kwa uwekezaji mkubwa wa muda mrefu ambao ungepelekea kuongezeka kwa namba za gati. Pia, gharama za kusafirisha makasha ni kubwa, jambo linalofanya kupanda kwa bei ya bidhaa kwa mtumiaji wa mwisho.
Mikataba inayosainiwa leo ni baina ya Nchi mwenyeji, mkataba wa ukodishaji na uendeshaji wa gati namba 4-7 lakini pia kutakuwa na sehemu ambayo gati 0-3 zitaendeshwa kwa ushirikiano wa pamoja kati ya TPA na kampuni ya DP World kwa shughuli za kibiashara na shughuli za kiserikali.
Mikataba hii haihusishi eneo lote la bandari wala bandari zingine za Tanzania. Upande wa gati namba 8-11, mchakato wa kumpata mwendeshaji mwingine umeshaanza kufanyika na akipatikana mwekezaji mwingine mwenye sifa atakabidhiwa na sio DP World.
Katika mikataba hii, Serikali itakuwa inapata ada na tozo kutoka DPW ambazo zitaongeza mapato na kupunguza gharama za uendeshaji.
Mkataba huu utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wa DPW utakuwa unapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100. Watumishi wa sasa wa TPA watakuwa na nafasi ya kuchagua kubaki TPA au kuhamia kampuni ya DPW.
Pia, mwekezaji atalipa kodi zote za Tanzania kwa mujibu wa Sheria za Tanzania, sheria za Tanzania ndio zitatumika katika kutekeleza mkataba huu na serikali itakuwa na haki ya kujiondoa kwenye mkataba ikiona inafaa.
SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIARais Samia amesema haikuwa rahisi kufikia makubaliano haya lakini walisikiliza na kufuatilia maoni na hoja za kila mtu hivyo hakuna kundi au sauti ambayo imepuuzwa ambao Serikali iliunda jopo la wataalam kufuatilia maoni hayo.
Kwa ujumla na kipekee kabisa, Rais Samia ameshukuru watanzania wote waliotoa maoni kwani linapokuja jambo jipya ni lazima watu wawe na maoni tofauti.
Amewakaribisha watu wengi zaidi kuja kuwekeza Tanzania ili kuinua uchumi na kupunguza umaskini wa watu.
Mawazo ya wawekezaji wa ndani kupewa bandari ni mazuri na ya kizalendo lakini yapo mbali na uhalisia. Katika kusiani mkataba huu, maslahi mapana ya nchi yamezingatia maslahi mapana ya nchi.
Shikamoo Mamkwe.Na bado.
Wameshagusia mbarabara na reli zote leo.
😅😅😅😅.....,......Kwa hiyo tumepigwa au?Iende wapi, na yale ndiyo makibaliano "mama".
Siyo kila kata, kila mtaa na kitongoji.Shikamoo Mamkwe.
Vipi swala la misikiti kila kata hawajalizungumzia.
Wapinga maendeleo nyie baada ya miaka 3 mtapata aibu Kwa maendeleo yatakayokuwa yamepigwa hapo bandarini, Kwa hiyo mlitaka serikali iache kufanya maendeleo sababu kusikiliza waoga kama nyie?Dharau zenu zitawaponza. Huwa mnaona wengine sio raia wa nchi hii. Tuone hiyo bandari itafika wapi.
Tena mmepigwa na mshtuko wa ajabu, nilikuwa nawaona maaskofu walivyoliachia domo wazi.😅😅😅😅.....,......Kwa hiyo tumepigwa au?
Ngoja nikafukue makaburi kuna wajinga wanaamini nchi inaongozwa Kwa kufuata maelekezo kutoka Vatican!Vipi waraka umeshindwa kuleta mabadiliko. Waendelee kuusoma.
FaizaFoxy, tulijenga barabara, na SGR ili kurahisisha uwekezaji wa watu wote, sio wa dp world tu, wao watafikisha mizigo yetu haraka bandarini, na tunawaruhusu watumie opportunity ya sgr. dp world kwetu ni wa muhimu zaidi kuliko wazungu ndio maana hata mapingamizi yote tuliyeleta, tulilenga vipengele vya mkataba, sio uarabu au vinginevyo. kwasaba, walivyobadilisha vipengele kutokana na maoni yetu, serikali ikamilishe haraka SGR, waboreshe barabara toka hapa hadi mpaka na zambia, mpaka na burundi, mpaka na Rwanda na mpaka na Uganda, kwasababu landlocked zote mizigo yao sasa itapitia hapa.Na bado.
Wameshagusia mbarabara na reli zote leo.