Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
wameturudishia na makonda ili watu wapate pa kusemea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wameturudishia na makonda ili watu wapate pa kusemea.
Kabisa wanatuona manyaniwameturudishia na makonda ili watu wapate pa kusemea.
Tec na wewe kondoo wao ndo mmeumiaImekuuma
Imekuuma
Typo...acha ukilaza kutafuta pa kujifichaKijana wa ccm acha unafki hata kuandika hujui ndo maana mnateua vilaza
Dini yake ipi hiyo?Hii tangu mwanzo ndivyo ilivyo Mwarabu anatumika tu wakoloni wamemtumia mwarabu kupitia dini yake.
Nimeumia nini wewe ndo umeumia hadi unajibu 😂🤣Tec na wewe kondoo wao ndo mmeumia
namshukuru kwamba amerekebisha vipengele, amesiikiliza ushauri na sauti ya watanzania. lakini, sioni kama ana strength za kutosha, kwanza ilikuweje akataka kuiiingiza nchi kwenye msala wa mkataba kama ule bila kugundua, manake washauri wake hana na sijaona kama amewachukulia hatua. hapo hatuwezi kusema ni strong. ingekuwa nchi za wenzetu alikuwa anatakiwa ajiuzulu mara moja kwasababu udhaifu wake umeonekana waziwazi na hana hata cha kujivunia kwenye mkataba huo, asije kuja kusema yeye ndiye alisaidia uwekezaji, watanzania ndio wamesaidia, yeye alikuwa anatupeleka shimoni kina mwabukusi wakatukomboa kwa msaada wa Mungu.Tumechelewa sana nasema tumechelewa sana. Hongera rais Samia
ajuza, unajisikiaje, yale ulikuwa unaona yapo sawa, mama samia amesema hayapo sawa. ametusikia tena katusikia kwa lazima, sio hiari yake. aibu yako wewe usiye na uzalendo na nchi.Dini yake ipi hiyo?
Vilaza ni waliotoka madhabahuni kuja hadharani kuhangaika na mambo ya kisiasaKilaza rais wako
Ulipost ili usijibiwe!?Nimeumia nini wewe ndo umeumia hadi unajibu 😂🤣
kichwa chako kimejaa kamasi. kama tusingesema nchi ilikuwa inaingia shimoni. hata Mh. Rais amekubaliana na sisi akaondoa vipengele vyote tata tulivyotaka viondoke, lakini wewe kwasababu ya dini ulikuwa radhi nchi itumbukie as long as mabwana zako waarabu watafaidi.Ndugu wabongo land.
Suala la bandari ni suala la maendeleo ya nchi .
Lkn kuna imani moja hapa imegeuza kuwa suala la dini.
Hio imani kila siku ina mitume wapya wa kila kabila.
Wanadai wanaongea na Mungu.
Jamani msituletee nuksi kwenye nchi yetu.
Nyie endeleeeni kuwapa utume na unabii mnaowataka lkn msituharibie nchi.
Siku kikiwaka nawahakikishia nyie ndio mtakuwa wa kwanza kupanda both kukimbia nchi manake midomo mirefu hali ya kuwa nafsi zenu zinajua kabisa huko kwenu ni usanii mtupu.
Bi mkubwa jazba ya nini?Hii tangu mwanzo ndivyo ilivyo Mwarabu anatumika tu wakoloni wamemtumia mwarabu kupitia dini yake.
Kama marekebisho hayo yamefanywa ni jambo jema. Tunashukuru sauti ya watanzania imesikikaMkataba ulifanyiwa marekebisho.
1. Muda wa mkataba- 30yrs
2. Bandari zinazohusika -DSM tu
Kumbuka mkataba wa awali ilitaja bandari zote ndani ya TZ.
Teh teh teh.kichwa chako kimejaa kamasi. kama tusingesema nchi ilikuwa inaingia shimoni. hata Mh. Rais amekubaliana na sisi akaondoa vipengele vyote tata tulivyotaka viondoke, lakini wewe kwasababu ya dini ulikuwa radhi nchi itumbukie as long as mabwana zako waarabu watafaidi.
Rais hajashauriwa na wenye elimu tu, kwa mkataba kama ule hata wasio na elimu waliona wazi kuwa tunapeleka nchi shimoni. tungekuuliza wewe sana ambaye unaumia kwanini vipengele vinavyowapendelea waarabu vimeondolewa. imeisha hiyo.Teh teh teh.
Yaani nyie watoto kama jazba ingekuwa ni fedha basi mngekuwa milionares.
We una elimu gani ya kuweza kumshauri RAIS wa Nchi ?
🤣🤣
Mwarabu anaanza kupiga pesa za wajingaKwisha habari yetu
Ritz tunaomba majibu ya swali hili.sawa lakini sisi ni wabia kwa asilimia ngapi!?