Washukuruni hao TEC na wanaharakati huru kupaza sauti na marekebisho yamefanyika, maana kuna bendera fuata upepo hata pale mnapoona sio sahihi mnakenua tu minjino
Bila watu kupambana lile limkataba lingebaki vivyo hivyo
Hawana nia njema kivipi wakati vipengele uliviona??
Hivi kuna mkataba wa hovyo kama ule??, mkataba gani unahusiha bandari zote napaka za maziwa makuu na bado tulikua tunauchekelea kama mazuzu ifike wakati tuambiane ukweli jau ni jau