Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100
Vipi tena kwenye maslai ya nchi unaleta mpaka U-Mudy ?
Sasa si umesikia alichosema huyu katibu wa TEC leo eti kuwa hawakujua walichoitiwa kwenye ile hafla ya utiaji saini mikataba ya bandari sasa kama si upuuzi huo ni nini?
 
Washukuruni hao TEC na wanaharakati huru kupaza sauti na marekebisho yamefanyika, maana kuna bendera fuata upepo hata pale mnapoona sio sahihi mnakenua tu minjino

Bila watu kupambana lile limkataba lingebaki vivyo hivyo

Hawana nia njema kivipi wakati vipengele uliviona??

Hivi kuna mkataba wa hovyo kama ule??, mkataba gani unahusiha bandari zote napaka za maziwa makuu na bado tulikua tunauchekelea kama mazuzu ifike wakati tuambiane ukweli jau ni jau
Mbona hamueleweki Katibu wa TEC anasema hawajauona mkataba na hawakujua walichiloitiwa pale wewe unasema tuwashukuru TEC wewe ni nani hapo TEC ?
 
Tumeona DP World na TPA wakitia sahihi mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Hassan Suluhu hivi majuzi. Je, ule uliopitishwa na wabunge umefanyiwa marekebisho? Kama ndio, mbona hatujasikia kama wabunge walifanya hivyo? Je, hii mikataba sio ni watoto wa lile baba/ mama lao lililopita mjengoni na mpaka sasa halijabadilishwa?
 
Back
Top Bottom