Kelele zimesaidia kuja na maneno angalau yenye faraja ingawa kinachoongelewa hapo hatuna uhakika kama kitatekelezwa.Muda ni mwalimu mzuri 🤔Hoja ya DP kuwa nchi imeuzwa imetupwa shimoji umehamia kwenye mavazi daaah😂
Mkataba wa awali upi huo? Kulikua na mikataba miwili?Mkataba ulifanyiwa marekebisho.
1. Muda wa mkataba- 30yrs
2. Bandari zinazohusika -DSM tu
Kumbuka mkataba wa awali ilitaja bandari zote ndani ya TZ.
Utakuwa ni HGA.Mkataba wa awali upi huo? Kulikua na mikataba miwili?
Unahukumu kitu ambacho akijatokea kwa chuki zako binasfi kwani wewe ulikuwa unataka nini haswa?Kelele zimesaidia kuja na maneno angalau yenye faraja ingawa kinachoongelewa hapo hatuna uhakika kama kitatekelezwa.Muda ni mwalimu mzuri 🤔
Uongozi wa TEC chini ya Father Kitima upo hapo ukumbini ukishuhudia utiaji saini wa mikataba.Kwahiyo mlidhani serikali itaacha kufanya mambo ya maendeleo kwaajili ya kuwasikiliza TEC?
Ndiyo zao. Utasikia akisema kosa kubwa nililofanya ktk uongozi wangu ni kumpa mwarabu bandariAkitolewa madarakani asije kuandika kitabu cha "NILISHAURIWA VIBAYA"
Liko kizimkazi kwa mawakala wa raslimali za tanganyika!
Utumwa gani uliongizwa Kwa Nguvu wewe nguchiro wa huko Kijijini 🤣🤣Mbuzi zote zinazotuingiza kwa nguvu utumwani Narudia yeyote! Hamtaki ushauri wowote hadi muuze tu kama vya mamazenu????!!
Hii ndio mikataba sasa. Ile ilikuwa makubalianoMikataba ipo Mitatu sasa sijui kina Mdude walivyokuwa wanawashikia akili wajinga walikuwa wanajua haya?
Nguvu ya TEC💪Mkuu, mbona huu mkataba ume address yale yote yaliyoonekana kuwa tatizo kwa baadhi ya makundi na wananchi kwa ujumla. eg Muda wa mkataba kuisha na Maeneo ya uwekezaji.
Lugha ya kukata tamaa na ina roho ya kwanini ndani yake.Hahahahaha.Muda utaongea.Tuombe uzima tu.Muda haudanganyi.
Saaa yale mpovu ya Chadema, Mdude na Slaa na wanaharakati uchwara walikuwa wanatuamisha nini.Hii ndio mikataba sasa. Ile ilikuwa makubaliano