Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100
Sasa hayo manguo ya kijani Yanafanya nini hapo? Hili suala la taifa au la chama?
 
Tanzania inaelekewa kuwa ni "logistics solution" ya Afrika.

Nna uhakai huko mbeleni tutakuwa kitovu cha biashara kikubwa katika Afrika, lakini kwa leo tutazame tunayoyakabili sasa hivi.


Tunataka kujenga banadari kavu katika mipaka yote ya Tanzania.

Mazao yote ya Tanzania sasa yatakuwa kwenye soko la dunia kwa jina la Tanzania.


Hayo ni maneno ya Mwenyekiti wa DP World.


Sisi siyo bandari tu, sisi ni kituo cha UStawi wa Tanzania.
 
Kumbe yule ng'ombe alipigwa mnada zamani?
Anyway tukubali hali.
If you can't beat them, join them!
Tunamuunga mkono Mama katika uwekezaji huu!
 
Nashukuru mabadiliko niliosikia. Hivi waziri mkuu yuko wapi?
Mungu asimamie haya maboresho yalete unafuu kwa wanadarisalama kiuchumi. Sio kupigia picha
 
Back
Top Bottom