Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Mtasema tuHuu wa dp world au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtasema tuHuu wa dp world au
Wana wa Israel
Nawaachia nyie upande wa Wauza ngada hapo ufipaWewe umemwachia Mdude na Mwabukusi ukikenua tokea pande za Lumumba?
Wajomba zako haoWana wa Israel
Haha wagala Wana hasira Leo siku yao na sindano imechomwa jumapiliWana wa Israel
Mwadhama Protace Kardinali RugambwaHaha wagala Wana hasira Leo siku yao na sindano imechomwa jumapili
Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023.
Nawaachia nyie upande wa Wauza ngada hapo ufipa
Vp Bado mnapinga tu maendeleo?? Unaijua hata Bandari imefafanaje hapa?
Wewe usie mpuuzi usikubali Sasa kuuza kwa Bandari yenuHi
Hivi huyu Mama bado anaendelea na upuuzi wake wa kuuza Bandari kwa DP World!
Endelea kula Ngada hapo na Dj
Usiingize udini. Yesu kafanyeje?Safi sana.
Asante Yesu nchi yetu sasa imejifunza kuweka siasa za uzandiki pembeni na kuanza kufanya mambo ya msingi kwa maendeleo ya kweli
Kazi iendelee
Kule Hamas huku BandariHaha wagala Wana hasira Leo siku yao na sindano imechomwa jumapili
Endelea kula Ngada hapo na Dj
Yesu anahusika na nini katika masuala ya Tanzania? Haijuwi Tanzania na sidhani hata kama masuala yetu yanamuhusu.Safi sana.
Asante Yesu nchi yetu sasa imejifunza kuweka siasa za uzandiki pembeni na kuanza kufanya mambo ya msingi kwa maendeleo ya kweli
Kazi iendelee