mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
Mbuzi zote zinazotuingiza kwa nguvu utumwani Narudia yeyote! Hamtaki ushauri wowote hadi muuze tu kama vya mamazenu????!!Wewe huyo au siyo? 😁😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbuzi zote zinazotuingiza kwa nguvu utumwani Narudia yeyote! Hamtaki ushauri wowote hadi muuze tu kama vya mamazenu????!!Wewe huyo au siyo? 😁😁😁😁
Hapa ndo nimepaelewa sanaMkataba ulifanyiwa marekebisho.
1. Muda wa mkataba- 30yrs
2. Bandari zinazohusika -DSM tu
Kumbuka mkataba wa awali ilitaja bandari zote ndani ya TZ.
Mkuu, mbona huu mkataba ume address yale yote yaliyoonekana kuwa tatizo kwa baadhi ya makundi na wananchi kwa ujumla. eg Muda wa mkataba kuisha na Maeneo ya uwekezaji.Nchi Ina kiongozi Mkuu wa hovyo sana, Mungu ataamua kama alivyowahi kuamua
Kiongozi ni yule anayesikiliza watu, amesikia kilio cha watu kuitaka DP WORLD kwa namna yeyote na aendelee na hekhma hiyo hiyo!Mbossa kasema maoni ya wananchi na wadau yamesikilizwa na mkataba ni wa miaka 30 na ajira za wazawa zitalindwa heko mhe! Rais
Sasa unapanic nini mkataba umeuona?Mbuzi zote zinazotuingiza kwa nguvu utumwani Narudia yeyote! Hamtaki ushauri wowote hadi muuze tu kama vya mamazenu????!!
Vitendo vya ujambazi na uuzaji wa raslimali bila huruma! Ama kweli "miye nimeamua kunyamaa" Rubish!!Ngoja nimsikilize mama wa vitendo.
Muda utaongea nini?Hajaliombea mabaya amesema muda utaongea
Very trueLazima bandari ifanyie marekebisho tena makubwa sana kilikua kichaka cha wezi .asante mama samia
Kilichopitia bungeni lazima tujue suluhisho kwanza. Mengine yote ni mavi danganya toto!Sasa unapanic nini mkataba umeuona?
Hoja ya DP kuwa nchi imeuzwa imetupwa shimoni umehamia kwenye mavazi daaa!😂Huyu Sultan hapendezi kwenye vazi la suti.Angevaa tu Yale mavilemba yake tu na makobazi 🤔
Bunge liko wapi wewe?Kilichopitia bungeni lazima tujue suluhisho kwanza. Mengine yote ni mavi danganya toto!
Liko kizimkazi kwa mawakala wa raslimali za tanganyika!Bunge liko wapi wewe?
Muulize mdudu ya bungeni.
Umejibu kiutopolo topolo😁Wa Al Ahly .