Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
And the good about all that, is the fact that we will have the power to remove him if we are not satisfied with his leadership.He has all the qualities to be a very good leader for our beloved country. He’ll respect our constitution, parliament, judiciary and above all citizens of this country.
Naye kafa kwa CORONA overJe, marehemu alipowaita vyama vya upinzani ni Wapumbavu na Malofa; yeye alijiweka kama Mtanzania sawa na Watanzania wengine au alijiweka kama mwana-CCM?!
Hivi Marehemu alikuwa na habari kwamba Tundu Lissu alitaka kuuawa, na alinusurika kwa kudra za Mwenyezi Mungu tu?! Kama ndiyo, Marehemu aliwahi kutoa pole kwa Tundu Lissu au aliona huyo ni wale wale "Wapumbavu na malofa" kwahiyo hakuwa na muda wa kutoa pole?!!
Hivi marehemu ana habari hadi hivi sasa Ben Saanane hajulikani alipo, na kuna uwezekano mkubwa kwamba ameuawa?! Vipi uliwahi kumsikia Marehemu akiongea lolote kuhusu Ben Saanane au kamuona ni wale wale "wapumbavu na malofa"?!
Many Chadema followers call Lissu a liberator, I agree – but he’s an opposition Liberator ? probably, but I believe he is true fraudsters and deceivers ,who fool hopelessness followers who have no capacity to do Hypothesis analysis and Synthesis analysis to assist them to arrive at a more meaningful conclusion as who Tundu Lissu is.
The Chadema leadership want to appropriate the language of revolution but have no history or track record to warrant them called Makamanda.
we ni mkimbizi mtutsi nn au ndo mwandiko kolomije div zeroKisa!!!.. nyinyi musiwo na maisha nje ya humu.. ndio munapigwa moyo na maneno munasoma.. pokea zaidi 💉💉💉. nenda ona dokta kwa BP yakwo..
And the good about all that, is the fact that we will have the power to remove him if we are not satisfied with his leadership.
Ndiyo maana alitolewa....!!!Huyo mlangoni ni yule aliyekuwa Waziri Wa mambo ya ndani kipindi hicho!? tena ni wapoti wake na hakuchukua hatua yoyote!?