Mung Mungu mbariki shuajaa wa Tanzania.
 
Bavicha Waoga Sana....

Umbamwa Wenu Uko UFIPA na Mitandaoni[emoji23][emoji23]

Airport Shwariiii.....hamko wengi ndani terminal 3 Wala pale Petrostation Wala barabarani karakata[emoji23][emoji23][emoji23] mliwatisha WaTZ kumbe wenyewe WANAWALI....
Apana ndugu, wako kichakani ukishatoka Airport na kuindia Barabarani, na wengi watajipamba barabarani kumshangilia. Wametuachia Uwanja wa ndege sie na TISS.

Hawa mahasimu wetu wana akili. Nadhani watanisikiliza na kufanya hivyo
 
Muulize babu yenu jiwe anaogopea nini mapokezi ya rais lissu mpaka anaomba msaada wa polisi?
Haogopi bali Chadema imejaa vibaka kwa hiyo ulinzi ni muhimu. Nilishuhudia wakati Chadema wanautoa mwili wa marehemu Mawazo Bugando Mwanza walikuwa wa awalazimisha watu ambao walikuwa hawahusiani na msiba ule eti waungane nao na kupora mali za Wamachinga maeneo ya Nata na kwingineko walikokuwa wakipita. Serikali iweke ulinzi imara kwa ajili ya raia wake na si kwa ajili ya Lissu
 
Mbona hauweleweki?
 
Nipo na baadhi ya wanachama tunapata juice hapa tukimsubiri kiongozi atue.hali ni shwari kabisa tunasubiri ratiba. Karibu nyumbani tena TL
Weka supporting documents (Picha)Tuwaone mlivyonoga.
 
Mkianza kukong'otwa pia msisahau kuweka picha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…