Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Nenda kachangie kwenye uzi wa kada wa ccm, ambaye wakati fulani aliwahi kuwa rais wa Tanzania, maana umedoda huko. Usipoteze muda kwenye uzi wa Lissu.
Tupieni hata picha basi.
 
Tulijua waKIUME..kumbe wanawari TU....

Masteringi wa Mitandaoni look😂😂😂
 
Katika hii miaka mitano tu ya utawala wa jiwe, zaidi ya trilioni 2.5 HAZIJULIKANI ZILIPO. Pesa hiyo ni zaidi ya UFISADI wote uliofanyika kwa awamu zote tangu tupate uhuru, unapata wapi ujasiri wa kushabikia na kutukuza MHALIFU wa kiwango hicho Mkuu n.g.u.r.u.w.e wa lumumba?
Maadamu hizi ni taarifa za mkaguzi mkuu wa mahesabu wa Chadema, "I Accept" 😂😂
 
Lisu ajihadhari sana na Mbowe, Lema, Halima Mdee na Ester Bulaya, hawa ndio walimpigia kura ya HAPANA hafai kuwa mgombea urais,wanamtaka Nyalandu, ujio wake umewakasirisha wanaweza kumdhuru, asipokee maji ya kunywa, chakula wala kushikana nao mikono
Lema ameshasikika mara nyingi kumfanyia hujuma Tundu lisu, lakini bora afike salama asome upepo akiona hawaeleweki ahamie ACT ama apumzike siasa aangalie maisha mengine mtaani , mbowe anajidanganya kumsapoti nyalandu hukutaleta wabunge chadema zaidi ya kuambulia patupu tu
 
Oyaa makamanda saa seven ndo hii.bado mnaoga tu tangia saa:4 asubui?
 
Back
Top Bottom