Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Nimeambiwa magari yamejaa wanachama na watanzania kwa maelfu kuja kumlaki kiongozi wao mpendwa TL hapa uwanjani.
Nani kakudanganya...Yuko Sugu Heche Cathy Ruge na mazwazwa wachache...wametuli haooo kwenye viti stori mbili tatu TU....
 
ZAB. 23:4
"Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji".

"Even though I walk through the darkest valley, I will fear no evil, for you are with me; your rod and your staff, they comfort me"
kuna kupita na kujipitisha usituchanganyie hapa
 
[SUB]
Screenshot_20200727-124133.png
Screenshot_20200727-124133.png[/SUB]
 
Polisi ukijielezea unapoelekea ndo Wanaruhusu. Lalikini kuna baadhi ya Wafanyakazi(Walinzi wa Uwanja, sio Polisi) ndo wanakataza watu kuingia.

Hawa security wa TAA ndo wengi Makhirikhiri na jamaa wa Airwing

Nadhani mmeshajua msukumo mkubwa unatokea wapi.

Naombea Amani itawale pande zote ziwe na busara ba haya mapokezi yamalizike vizuri. Kashaumia sana TL hakuna haja ya kuendelea kusumbuana nae.

Amen
 
Siku lissu kamiminiwa risasi dodoma sep7 2017 nilipigiwa simu na dada angu kipenzi akanambia ilo swala nikamwambia nipo porini sijui chochote na ilinibidi nitoke uko porini hakukua na Internet vizuri nikaenda mjini kufatilia hiyo habari kweli kati ya kipindi ambacho moyo wangu uliniuma na nikatoa machozi kama mtoto mdogo ni icho iyo siku niliumia sana na ukizingatia nlikua namkubali sana lissu na ilifikia hatua nikawa naitwa jina la utani tundu lissu.

Daaah sasa nipo mjini jiji la bwana Abdallah kunembe cjui mimi nitakua nani nishindwe kwenda kujionea huu muujiza wa mungu baba.
 
Nani kakudanganya...Yuko Sugu Heche Cathy Ruge na mazwazwa wachache...wametuli haooo kwenye viti stori mbili tatu TU....

Mlitaka watu wajazane ili muwavunje miguu na kuwapeleka Segerea baada ya hapo kambi yote ya upinzani iangahike na case za kijinga badala ya kupambana kwenye uchaguzi. Mmefeli vibaya sana madhalimu nyinyi.
 
Many Chadema followers call Lissu a liberator, I agree – but he’s an opposition Liberator ? probably, but I believe he is true fraudsters and deceivers ,who fool hopelessness followers who have no capacity to do Hypothesis analysis and Synthesis analysis to assist them to arrive at a more meaningful conclusion as who Tundu Lissu is.

The Chadema leadership want to appropriate the language of revolution but have no history or track record to warrant them called Makamanda.
 
Back
Top Bottom