Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu mbariki shuajaa wa Tanzania.Salaam Wakuu,
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki.
Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini Dodoma ,Septemba 7, mwaka 2017, saa 7 mchana, Area ‘D’, kwenye nyumba ya makazi ya viongozi wa Serikali mjini Dodoma.
“Lissu kwa sasa anatimiza mwaka wa tatu na anarejea hapa nchini baada ya kupona kikamilifu. Watanzania na wanachama wa Chadema wanakutana hapa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), kwa lengo la kumpokea makamu mwenyekiti wa chama chao Lissu.
Hivyo timu nzima tupo hapa kukuletea kile kitakachojiri kwenye mapokezi haya.
Stay tuned.
======
UPDATES;
1105HRS: Hapa uwanjani pametulia, hakuna fujo wala dalili za fujo, Wanachama wachache wa CHADEMA wanaonekana wakipita pita huku na kule. Bado sijabahatika kuona gari la Polisi Wala Gari la CHADEMA.
View attachment 1518228
View attachment 1518224View attachment 1518225View attachment 1518226
Ratiba inaonesha muda wa ndege kufika ni saa saba na dakika Ishirini. Angalia kwenye chati
View attachment 1518258
1121hrs: Saa moja iliyoisha Tundu Lissu ndo amepanda ndege ya Ethiopian Airlines ET 805 kutoka Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Bole Addis Ababa kuja hapa Dar Julius Kambarage Nyerere International Airport.
Safari inatazamiwa kuchukua masaa yasiyozidi Matatu kufika hapa tulipo.
View attachment 1518257
1140hrs: Mwenyekiti Mkoa wa Iringa CHADEMA William Mungai, aliyekuwa Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche na aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi(Sugu) Wakiwa Wamefika hapa Uwanja wa ndege kumpokea Lissu
View attachment 1518269
1156HRS: Kutoka kushoto: Hekima Mwasipu, Wakili wa Chadema, Sugu, Catherine Ruge(Simba Jike) Viti Maalum Mara na Mgombea wa Jimbo la Segerea CHADEMA
View attachment 1518335View attachment 1518331View attachment 1518330
1230hrs: Polisi Magari Mawili ya Polisi wameshusha Wanausalama wa kulinda amani wapatao kama 30 nje ya Viunga vya Uwanja wa ndege. Wamekaa mstari kama Gwaride na wanapewa Maelekezo. Wameshusha njia Panda ya kuelekea Uwanja wandege. Kuna askari wanne walikuwepo tangu asubuhi Wakihoji kila anaye ingia. Bodaboda kama 50 wapo hapo Askari Polisi Walipo, nadhani Wamekataliwa kuingia. Vilevile Magari ya CHADEMA maarufu kama Magari ya M4C, Yapo sehemu hiyo ya njiapanda yakizunguka huku na kule. Magari ya CHADEMA yapo Matano yamejaa watu waliovalia nguo za CHADEMA.
Polisi ukijielezea unapoelekea ndo Wanaruhusu. Lalikini kuna baadhi ya Wafanyakazi(Walinzi wa Uwanja, sio Polisi) ndo wanakataza watu kuingia.
View attachment 1518339View attachment 1518340
1240: Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wameweza kupenya na kuongia ndani sehemu ya kusubiria Wageni
View attachment 1518355View attachment 1518354View attachment 1518353
Apana ndugu, wako kichakani ukishatoka Airport na kuindia Barabarani, na wengi watajipamba barabarani kumshangilia. Wametuachia Uwanja wa ndege sie na TISS.Bavicha Waoga Sana....
Umbamwa Wenu Uko UFIPA na Mitandaoni[emoji23][emoji23]
Airport Shwariiii.....hamko wengi ndani terminal 3 Wala pale Petrostation Wala barabarani karakata[emoji23][emoji23][emoji23] mliwatisha WaTZ kumbe wenyewe WANAWALI....
Haogopi bali Chadema imejaa vibaka kwa hiyo ulinzi ni muhimu. Nilishuhudia wakati Chadema wanautoa mwili wa marehemu Mawazo Bugando Mwanza walikuwa wa awalazimisha watu ambao walikuwa hawahusiani na msiba ule eti waungane nao na kupora mali za Wamachinga maeneo ya Nata na kwingineko walikokuwa wakipita. Serikali iweke ulinzi imara kwa ajili ya raia wake na si kwa ajili ya LissuMuulize babu yenu jiwe anaogopea nini mapokezi ya rais lissu mpaka anaomba msaada wa polisi?
Rais wa mitandao ya kijamiiKwani KLM na SWISS zimeshafungua milango kuja BONGO? hapa ISSUE ni ujio wa RAIS MTARAJIWA TU.
Chief nimekuvulia kofia, wewe ni mfuasi mzuri wa Lissu, ila wengi hawaaminiki.
Mitandaoni...
Kumbe ilikuwa PROMO ee?
Naona unaomboleza airportMapokezi ya mitandaoni.
Mbona hauweleweki?Nitoe angalizo kwa wewe mhuni mmoja wa lumumba mwenye jeans ya dark blue na tisheti nyeusi cape ya Nike ya khaki na raba nyeusi, kama upo humu jf uache kutufuata fuata nyuma, alokutuma mwambie sisi level nyingine, tusije kuondoka nawewe tukaenda kukunywa supu Mivumoni, tumekuja kumpokea Lissu, ninyi ndo mtaleta vurugu,
#Barret M82 in the trunk#
Weka supporting documents (Picha)Tuwaone mlivyonoga.Nipo na baadhi ya wanachama tunapata juice hapa tukimsubiri kiongozi atue.hali ni shwari kabisa tunasubiri ratiba. Karibu nyumbani tena TL
Bila shaka BBC, Aljazeera, CNN, VOA na vyombo vingine vya kimataifa vitakuwepo hapo uwanjani.
Makamanda katika picha wakielekea airport:
View attachment 1518252
Ni "DIPU" nikupigie Mkuu 077742678Tutafutane nipo hapa mazeee 075578908 kumpokea jembe