Wanachi wamesha pata kujua kilicho endelea jana kupitia mitandao, wakitaka labda wafunge na mitandao yote tubakie gizani kama ilivyo kwa bunge
Jana kulikuwa na mafuliko ya mapokezi ya Rais mtarajiwa. Ila cha ajabu magazeti na vyombo vyote vya habari viko bize na maombolezo ya mkapa.
 
Kwann hawaivi ?
 
Ushauri mzuri ila CHADEMA ni wastaarabu sana, mambo waliyofanyiwa na viongozi wa CCM kama wangekuwa na traces za ukorofi lazima wangefanya vurugu kama za wapigania uhuru wa Afrika ya kusini.
 
Siasa za visasi hazina tija. Tugange yajayo.
Kupigana risasi siyo siasa, Mdee kafanya yale ya moyo wake, hatumpingi, ila msimamo wa "vigilantes" upo pale pale, tunakamilisha mafaili ya waliohusika kwenye matukio ya kikatili dhidi ya viongozi wenye mawazo mbadala.

Ukikamilika watapata kadiri ya walichofanya!
 
True hivi ndivo polisi inatakiwa maadamu awafunji sheria waacheni jioni watalala wenyewe,unaleta maendeleo kwann uogope upinzani?
Siku zote polisi ndio chanzo cha vurugu, Hakuna mtz yeyeto apendae vurugu
Kifo cha AKWILINA kilisababishwa na nanii, kama si wao hakuna ambaye angeumia hata ukucha, POLICCM.
 
Wameaibika vizuri wote waliozani na kuamini kuwa mapokezi hayo yangekwamishwa na jeshi la polisi, roho zeo mbaya zitawatesa milele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…