Nenda kachangie kwenye uzi wa kada wa ccm, ambaye wakati fulani aliwahi kuwa rais wa Tanzania, maana umedoda huko. Usipoteze muda kwenye uzi wa Lissu.
Tupieni hata picha basi.
 
Tulijua waKIUME..kumbe wanawari TU....

Masteringi wa Mitandaoni look😂😂😂
 
Maadamu hizi ni taarifa za mkaguzi mkuu wa mahesabu wa Chadema, "I Accept" 😂😂
 
Waungwana wapo uwanja wa Uhuru kumuaga kiongozi wao.
Mwenyewe yupo eneo la haki, alishafika dakika ile ile alipokata roho, hicho mnachokiaga ni mwili tu ambao ni udongo.
 
Lisu ajihadhari sana na Mbowe, Lema, Halima Mdee na Ester Bulaya, hawa ndio walimpigia kura ya HAPANA hafai kuwa mgombea urais,wanamtaka Nyalandu, ujio wake umewakasirisha wanaweza kumdhuru, asipokee maji ya kunywa, chakula wala kushikana nao mikono
Lema ameshasikika mara nyingi kumfanyia hujuma Tundu lisu, lakini bora afike salama asome upepo akiona hawaeleweki ahamie ACT ama apumzike siasa aangalie maisha mengine mtaani , mbowe anajidanganya kumsapoti nyalandu hukutaleta wabunge chadema zaidi ya kuambulia patupu tu
 
Oyaa makamanda saa seven ndo hii.bado mnaoga tu tangia saa:4 asubui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…