Mbowe kaingiwa na wivu baada ya kuona Tundu Lisu amekubalika zaidi ya nyalandu ambaye sasa anachepuka na mdee na pia mbowe anataka kuvuta pesa toka CCM awawekee garasa nyalandu ili CCM washinde kiwepesi lakini yeye katengeneza pesa, hii ndiyo hali halisi.Mimi sielewi hapa.
LISU ni chaguo la chama au la wafuasi?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Niko hapa Airport, kwani wengine mko wapi, nyie watu wa mitandaoni ni wachochezi sana aisee
Sitawaamini tena, watu ni kidooogo Sana hapa kuliko uwingi wa watu wa mitandaoni,
we unaharibu nchi kila siku unajifanya unajenga?Ngoja afike tumfyatue kiuno arudi kwa waume zake kwa matibabu zaidi, sisi tuendelee kujenga nchi
.Mbowe kaingiwa na wivu baada ya kuona Tundu Lisu amekubalika zaidi ya nyalandu ambaye sasa anachepuka na mdee na pia mbowe anataka kuvuta pesa toka CCM awawekee garasa nyalandu ili CCM washinde kiwepesi lakini yeye katengeneza pesa, hii ndiyo hali halisi.
😂😂😂😂😂 Makomandoo wa Mitandaoni,terminal 3 kimya yuko Sugu Cathy Ruge Zwazwa Heche na wanafemili wao wachache kabisaOyaa makamanda saa seven ndo hii.bado mnaoga tu tangia saa:4 asubui?
Hujalazimishwa nenda kaombeleze usije kukosa LUNCHMbowe amewasili hapo uwanjani?
Au ndiyo mnataka kututumia sisi akina kajamba nani ili tukung'utwe na wazee wa vibaka vyekundi ili kutangaza jina la chama
Kwa support hii ninayoiona kwa Tundu Lisse jamani Mark my words jamani. Tundu Lissu ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania coming October 2020.
Sasa kama amekujua wewe ni mfuasi wake ya nini kutangaza
Msitujaribu, tumekuja sasa.. [emoji1][emoji111][emoji123]View attachment 1518370
Mkuu hii kitu unaicheki vp nipe maunjanja.update. Madakika tu shujaa kutua nyumbani.View attachment 1518384
Kwenda kumpokea mtu ni kutafuta matatizo?Hao ni kama kuni na vidole mkuu. Vidole vinasogeza/vinasukuma kuni kuingia kwenye mafiga/jiko ili kuni ziteketee lakini kamwe vidole havigusi moto.
Hawa nao wanachochea wenzao waingie kwenye matatizo wao wakiwa kwenye masofa wanachezea cm.
Wewe upo airport ya chato unalalamika niniNiko hapa Airport, kwani wengine mko wapi, nyie watu wa mitandaoni ni wachochezi sana aisee
Sitawaamini tena, watu ni kidooogo Sana hapa kuliko uwingi wa watu wa mitandaoni,