Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Lisu ajihadhari sana na Mbowe, Lema, Halima Mdee na Ester Bulaya, hawa ndio walimpigia kura ya HAPANA hafai kuwa mgombea urais,wanamtaka Nyalandu, ujio wake umewakasirisha wanaweza kumdhuru, asipokee maji ya kunywa, chakula wala kushikana nao mikono
Wakimdhuru Serikali ya CCM inatakiwa iwashughurikie, isipowashughurikia basi tutaiambia itwambie nani alimdhuru.
 
Asante Mungu. Chadema neno letu ni amani, nguzo yetu ni amani. Leo tunampokea Lissu kishujaa na kwa amani. Hatutaki shida wala fujo
Huu ni ujumbe mzuri wenye maneno ya kujihami, ila wale jamaa wenye kidoti chekundu sijui kama hii lugha wanaielewa.
Muhimu ukienda usisahau chupa kubwa ya maji.
 
Sipati picha akihamasisha watu kwenda kumuaga mzee mkapa kesho, uwanja hautatosha.
 
Back
Top Bottom